Serikali Uingereza yashindwa kesi ya Brexit
Mahakama ya juu nchini Uingereza imesema waziri mkuu Theresa May laazima apate idhini ya bunge kabla ya kuanzisha mchkatao wa nchi hiyo kujiondoa Umoja wa Ulaya maarufu Brexit.
View ArticleNani ataongoza dunia iwapo Trump ataitoa Marekani?
Mkakati wa Rais wa Marekani Donald Trump wa kufuata sera ya "Marekani kwanza" unaanza kuzusha maswali juu ya nani atajaza ombwe iwapo Marekani itajivua jukumu la uongozi wa dunia.
View ArticleSiasa kali za kizalendo zinaathiri vita dhidi ya rushwa
Kuongezeka kwa viongozi wa siasa kali za kizalendo za mrengo wa kulia duniani kunatishia kudhoofisha vita dhidi ya rushwa. Hayo ni kwa mujibu wa shirika la kupambana na ufisadi, Transparency...
View ArticleTrump kusaini amri kuu za kiutendaji
Rais wa Marekani, Donald Trump leo atasaini amri kuu za kiutendaji za kupiga marufuku wahamiaji kuingia nchini humo, kusimamishwa kutolewa visa kwa wananchi wa Syria pamoja na mataifa sita ya Mashariki...
View ArticleMalawi yapitisha muswada wa taarifa sekta ya madini
Hivi karibuni Malawi imepitisha muswada wa sheria kuhusu upatikanaji wa taarifa ambao utazisaidia jamii zilizoathirika na sekta ya madini kupata taarifa za masuala yanayohusiana na mazingira, afya na...
View ArticleMartin Schulz mgombea wa ukansela wa SPD
Chama cha SPD cha Ujerumani kimemtagaza spika wa zamani wa bunge al Ulaya Martin Schulz kuwa mgombea wake wa ukansela na pia mwenyekiti mpya wa chama hicho.
View ArticleKumbe Barrow alimkubalia Jammeh aondoke na utajiri 'wake'
Imefahamika kuwa Rais Adama Barrow wa Gambia alifikia makubaliano na mtangulizi wake, Yahya Jammeh, yanayomruhusu Jammeh kubakia na magari yake ya kifahari ili naye akubali kwenda kuishi uhamishoni...
View ArticleEneo la mashariki la Mosul lakombolewa
Waziri Mkuu wa Iraq Haider al-Abadi ametangaza rasmi kukombolewa upande wa mashariki wa mji wa Mosul ambao hapo awali ulikuwa ukidhibitiwa na wanamgambo wa kundi la itikadi kali linalojiita Dola la...
View ArticleMke wa mgombea urais alipwa euro 600,000 bila kufanya kazi
Mke wa mgombea urais wa Ufaransa anayeongoza, Francois Fillon, anatuhumiwa kupokea euro 600,000 kwa ajira ambayo kamwe hajawahi kuifanyia kazi.
View ArticleAl-Shabaab wauwa 7, wajeruhi 20 Mogadishu
Watu saba wameuwawa na 20 kujeruhiwa baada ya wanamgambo wa al-Shabaab kuivamia hoteli moja mjini Mogadishu kwa magari yaliyojaa mabomu.
View ArticleMartin Schulz: Kutoka "nguruwe" hadi mgombea ukansela
Mwenyekiti wa chama cha SPD nchini Ujerumani anamtaka Martin Schulz kuwa mgombea wa ukansela wa chama hicho. Lakini spika huyo wa zamani wa bunge la Ulaya hajajihusisha na siasa za Ujeurmani mpaka sasa.
View ArticleErdogan ataka kuweka mizizi Afrika
Tanzania, Msumbiji, Madagascar: Rais wa Uturuki Tayyip Erdogan yuko ziarani barani Afrika. Miongoni mwa masuala makuu ni mzozo kati yake ya mhubiri Gülen na maslahi ya kiuchumi.
View ArticleTrump aagiza ukuta ujengwe kati ya Marekani na Mexico
Rais wa Marekani Donald Trump ametia saini amri ya rais kuidhinisha kuanza kujengwa ukuta katika mpaka kati ya Marekani na Mexico. Amri hiyo inalenga kutimiza mojawapo ya ahadi kuu za Trump alizozitoa...
View ArticleAl-Nusra Front washambulia makundi ya waasi Syria
Kundi la wanamgambo ambalo awali lilikuwa na mafungamano na mtandao wa kigaidi wa Al-Qaeda limefanya mashambulizi dhidi ya makundi mengine ya wanamgambo ya Jeshi Huru la Syria, FSA, wanaoungwa mkono na...
View ArticleWanajihadi wapoteza udhibiti wa Benghazi
Wapiganaji wamelazimika kutorokea majengo katika wilaya karibu za magharibu mwa Benghazi
View ArticleMsichana wa miaka 16 kupewa hukumu leo nchini Ujerumani
Kifungo cha miaka sita chapendekezwa kwa kumchoma kisu afisa mmoja wa polisi mnamo mwezi Februari mwaka uliopita. Safia adaiwa kufanya kosa hilo baada ya kupokea maagizo kutoka kwenye kundi la kigaidi...
View ArticleTanzania yateketeza nyavu na zana haramu za uvuvi
Serikali ya Tanzania inafanya operesheni kabambe za kudhibiti uvuvi haramu pamoja na kukamata zana za uvuvi zisizotakiwa katika Ziwa Tanganyika.
View ArticleMadaktari Kenya wapewa siku 5 waache kugoma
Mahakama ya Kenya siku ya Alhamisi (26.01.2017) imewapa madaktari na wauguzi siku 5 kumaliza mgomo wao. Hatua hiyo inabadili msimamo wa awali wa serikali kutishia kuwatupa gerezani maafisa wa chama cha...
View ArticleTrump aichimbia 'mkwara' Mexico
Rais wa Mexico Enrique Pena Nieto amefutilia mbali ziara Marekani baada ya Donald Trump kutia saini agizo la rais la kutaka kuanza kujengwa kwa ukuta katika mpaka kati ya Marekani na Mexico na kuitaka...
View ArticleAl Shabab yadai imewauwa Wanajeshi 57 wa Kenya
Kundi la waasi la Somalia la Al Shabab limesema leo wapiganaji wake wamewaua wanajeshi kadhaa wa Kenya walipoivamia kambi ya kijeshi iliyoko Somalia, madai ambayo jeshi la Kenya imeyakanusha.
View Article