Quantcast
Channel: DW Kiswahili
Browsing all 28704 articles
Browse latest View live
↧

Wahanga wa 'Holocaust' wakumbukwa

Tarehe 27 Januari ni siku ya kuwakumbuka wahanga wa mauaji makubwa ya kimbari dhidi ya wayahudi yaliofanywa na utawala wa Adolf Hitler, kutokana na sera yake aliyoiita ya uzalendo wa Kisoshalisti.

View Article


Odinga adai njama ya wizi wa kura uchaguzi mkuu Kenya

Miezi saba kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu nchini Kenya, kiongozi wa upinzani Raila Odinga ameituhumu serikali ya Jubilee kwa kuendeleza ufisadi wa hali ya juu na kupanga njama ya kuiba kura...

View Article


Waasi wa zamani Cote di'Voire wapandishwa vyeo

Rais wa Cote di'Voire amewapandisha vyeo makamanda wawili wa zamani wa waasi waliounga mkono upande wa serikali katika mazungumzo ya kuzima uasi wa wanajeshi mapema mwezi Januari.

View Article

Watoto milioni 6 wakabiliwa na njaa pembe ya Afrika

Watoto milioni 6.5 wanakabiliwa na kitisho cha njaa, utapiamlo na kifo katika maeneo katia mataifa ya Somalia, Ethiopia na Kenya, limesema shirika la hisani wakati ambapo mvua za machipukopia...

View Article

Trump, May kujadili mahusiano ya nchi zao

Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May, anatarajiwa kukutana na Rais wa Marekani, Donald Trump, Ijumaa (27.01.2017) ikiwa ni mkutano rasmi wa kwanza kwa Trump kufanya na kiongozi wa kigeni tangu...

View Article


Msichana wa miaka 16 kuhukumiwa Ujerumani

Kifungo cha miaka sita chapendekezwa kwa kumchoma kisu afisa mmoja wa polisi mnamo mwezi Februari mwaka uliopita. Safia adaiwa kufanya kosa hilo baada ya kupokea maagizo kutoka kwenye kundi la kigaidi...

View Article

EU yahimiza muafaka kuhusu uhamiaji

Chini ya sheria za sasa za Dublin, wanaotafuta hifadhi katika nchi za Umoja wa Ulaya, wanapaswa kurejeshwa katika nchi ambazo walifikia kwanza.

View Article

Miaka 72 ya mauaji ya Holocaust

Ijumaa ni suku ya kimataifa ya kuwakumbuka wahanga wa mauaji ya Kimbari-Holocaust, yaliofanywa na utawala wa Wanazi wakati wa vita vya pili vya Dunia. Wakati wa utawala  huo wa, Adolf Hitler, watu...

View Article


Trump asitisha mpango wa wakimbizi Marekani

Rais wa Marekani Donald Trump ametia saini agizo la rais la kusitisha kwa miezi 4 mpango wa kuwaruhusu wakimbizi Marekani na kuwazuia kwa muda wageni kutoka Syria na nchi nyingine sita za Kiislamu...

View Article


Ujerumani na Ufaransa kukabiliana na mizozo ya nje kwa msimamo mmoja

Waziri wa mambo wa nje wa Ujerumani Sigmar Gabriel na mwenzake wa Ufaransa Jaen -Marc Ayrault watashirikiana kwa karibu katika masuala kuhusu Urusi,Uraine na na ushirikiano wao kwa Marekani..

View Article

Agizo la Trump lawaathiri mamia ya wasafiri

Agizo la Rais wa Marekani Donald Trump la kusitisha mpango wa wakimbizi na kuwazuia wasafiri kutoka mataifa saba ya Kiislamu kuingia Marekani yamesababisha ghadhabu na hali ya sintofahamu.

View Article

Schulz kupambana na ukosefu wa usawa Ujerumani

Rais wa zamani wa bunge Ulaya Martin Schulz ameteuliwa kukiongoza chama cha Social Demokratik katika jaribio lao la kumuondowa madarakani Kansela Angela Merkel

View Article

Mke wa mgombea urais alipwa euro 600,000

Mke wa mgombea urais wa Ufaransa anayeongoza, Francois Fillon, anatuhumiwa kupokea euro 600,000 kwa ajira ambayo kamwe hajawahi kuifanyia kazi

View Article


Odinga adai njama ya wizi wa kura Kenya

Miezi saba kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu nchini Kenya, kiongozi wa upinzani Raila Odinga ameituhumu serikali ya Jubilee kwa kuendeleza ufisadi wa hali ya juu na kupanga njama ya kuiba kura...

View Article

EALA yapitisha sheria dhidi ya ukeketaji

Bunge la Afrika Mashariki lililoendehsa vikao vyaka kwa wiki mbili mjini Kampala limepitisha sheria ya kupiga marufu ukeketaji. Pia bunge hilo limekubali kujadili miswada mingine ukiwemo wa ulinzi wa...

View Article


Maelfu waandamana kupinga amri ya Trump

Amri iliyojaa utata iliyotolewa na Rais Donald Trump ya kupiga marufuku wasafiri kutoka nchi saba za kiislamu kuingia nchini Marekani imeibua hasira na maandamano makubwa  nchini humo.

View Article

Umoja wa Afrika kumchagua mwenyekiti mpya

Viongozi wa Umoja wa Afrika leo kufikia maamuzi magumu juu ya Morocco kujiunga tena na jumuiya hiyo. Waziri wa mambo ya nje wa Kenya apigiwa upatu kuchukua uenyekiti wa AU katika uchaguzi utakao...

View Article


Volkswagen yaipiku Toyota mauzo ya magari duniani

Kampuni ya magari ya Ujerumani Volkswagen iliuza magari mengi zaidi duniani kuliko mshindani wake wa Japan Toyota mwaka 2016, na kushinda taji la kampuni kubwa zaidi ya utengenezaji magari kwa mara ya...

View Article

Benoit Hamon kuwania urais Ufaransa kwa tiketi ya Wasoshalisti

Chama cha Kisoshalisti nchini Ufaransa kimemchagua mwanasiasa Benoit Hamon kuwa mgombea wa chama hicho katika kinyanganyiro cha kuwania nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka...

View Article

Maoni ya Wahariri wa Magazeti ya Ujerumani

Amri iliyotolewa na Trump kuwapiga marufuku raia kutoka nchi saba wasiingie nchini humo, na uteuzi wa Martin Schulz kugombea ukansela wa Ujerumani, ni mada zilizohanikiza katika magazeti ya Ujerumani...

View Article
Browsing all 28704 articles
Browse latest View live