Bunge la Afrika Mashariki lililoendehsa vikao vyaka kwa wiki mbili mjini Kampala limepitisha sheria ya kupiga marufu ukeketaji. Pia bunge hilo limekubali kujadili miswada mingine ukiwemo wa ulinzi wa walemavu wa ngozi.
↧