Tanzia: Mohamed Abdulrahman, safari iliyowacha alama
Mohamed Abdulrahman, aliyekuwa mhariri na naibu msaidizi wa mkuu wa DW Kiswahili, amefariki dunia nyumbani kwake mjini Cologne akiwacha nyuma yake alama isiyofutika kwenye tasnia ya uandishi wa habari.
View ArticleWTO yalenga mageuzi kwa biashara huru na maamuzi rahisi
Shirika la Biashara Duniani (WTO) linashinikiza mageuzi makubwa ili kuondoa mkwamo wa muda mrefu wa maamuzi, huku nchi kama Marekani, China na India zikivutana kuhusu upendeleo wa kibiashara.
View ArticleUrusi huenda ikawekewa vikwazo iwapo haitoridhia masharti ya Marekani kuhusu...
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza msaada mpya wa silaha kwa Ukraine na kutishia kuiwekea vikwazo vya ziada Urusi iwapo haitakubali mkataba wa amani ndani ya siku 50.
View ArticleWasichana waliopata ujauzito kuendelea na shule Kongo
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Wizara ya elimu imechukua hatua ambayo inaamuru wasichana wajawazito wasifukuzwe tena shuleni, hatua iliyozua hisia mseto miongoni mwa Wakongo.
View ArticleTrump na Ikulu ya Marekani wakalia kuti kavu sakata la Epstein
Sakata la Jeffrey Epstein limemuweka Rais Doanld Trump katika kona ngumu kisiasa! Baada ya kufuta ahadi ya kufichua mafaili ya kesi hiyo, wafuasi wa MAGA wamelipuka kwa hasira. Je, Trump ataweza...
View ArticleJoto la Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani limeanza kupanda nchini...
Joto la Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani limeanza kupanda nchini Tanzania, huku Chama cha Mapinduzi CCM kikifunga rasmi pazia la kuchukua fomu kwa ajili ya kuomba kuteuliwa kuwania nafasi hizo.
View ArticleCCM yasema kujiuzulu kwa Polepole ni utashi wake
Chama cha Mapinduzi CCM nchini Tanzania, kimetoa kauli yake kufuatia kujiuzulu kwa Humprey Polepole katika nafasi ya ubalozi wa Tanzania nchini Cuba, amesema amejiuzulu baada ya kushuhudia mambo...
View ArticleMiaka 100 ya "Mein Kampf" ya Hitler
Miaka mia moja tangu Adolf Hitler achapishe andiko lake la chuki la "Mein Kampf" au "Mapambano Yangu" Julai 18 1925, athari zake bado zinasikika – si tu katika historia, bali hata kwenye mitandao ya...
View ArticleTransparency International: Polisi wa Kenya wanaongoza kwa kula rushwa
Idara ya polisi ya Kenya imeongoza kwa ufisadi nchini humo kwa kupata alama ya kutisha ya wastani wa 84 kati ya 100 kulingana na ripoti mpya ya shirika la kupambana na ufisadi ulimwenguni, Transparency...
View ArticleUingereza na Ujerumani wasaini mkataba wa kuimarisha ulinzi
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer na Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz wametia saini mkataba wa kihistoria unaolenga kuimarisha ushirikiano wa ulinzi.
View ArticlePolepole akosoa uteuzi wa wagombea urais, CCM
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole amekosoa vikali jinsi chama tawala cha Mapinduzi, CCM, kilivyokiuka utaratibu kwa kumpitisha mgombea urais wa Tanzania na Zanzibar.
View ArticleVikosi vya Syria vyarejea kwenye mji wa Sweida, machafuko yakizidi kuongezeka
Vikosi vya Syria vimerejea kwenye vitongoji vya mji wa Sweida huku machafuko yakiendelea katika vijiji vya mji huo. Takriban watu 500 wameuwawa kufuatia mapigano yaliyozuka kati ya makabila ya Bedui na...
View ArticleUpinzani wapuuza wito wa mazungumzo ya amani Sudan Kusini
Chama kikuu cha upinzani nchini Sudan Kusini kimekataa wito wa Rais Salva Kiir wa kuanzisha mazungumzo ya kitaifa ili kuzuia nchi hiyo kurejea katika vita vya wenyewe kwa wenyewe.
View ArticleEuro: Uswisi ina kibarua kigumu dhidi ya Uhispania
Beki wa Aston Villa Noelle Maritz amesema anaamini kwamba mashabiki wa nyumbani watakuwa chachu muhimu kwa timu ya taifa ya wanawake ya Uswisi katika juhudi zao za kuiondoa Uhispania.
View ArticlePapa Leo XIV asistiza umuhimu wa kulinda maeneo ya ibada
Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV, amesisitiza umuhimu wa kuyalinda maeneo ya ibada katika mazungumzo yake na Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu.
View ArticleVikosi vya serikali ya Syria vyajiandaa kurejea Sweida
Mapigano mapya yamezuka kati ya wanamgambo wa jamii ya Druze na wale wa Kibedui kusini mwa Syria, huku majeshi ya serikali yakijiandaa kurejea tena eneo hilo.
View ArticleUrusi yapuuzilia mbali vikwazo vipya vya EU
Umoja wa Ulaya umeidhinisha duru nyingine ya vikwazo dhidi ya Urusi kuhusiana na vita vyake Ukraine. Moscow imepuuzilia mbali athari ya vikwazo hivyo kwenye uchumi wake, ikisema kuwa ni haramu na...
View ArticleKremlin: Vitisho vya Trump havizuii mazungumzo na Ukraine
Kremlin imesema kuwa haioni msimamo mkali wa Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu vita vya Ukraine kama mwisho wa mazungumzo ya kidiplomasia kati ya Moscow na Washington.
View Article