Quantcast
Channel: DW Kiswahili
Viewing all articles
Browse latest Browse all 28721

Msichana wa miaka 16 kuhukumiwa Ujerumani

$
0
0
Kifungo cha miaka sita chapendekezwa kwa kumchoma kisu afisa mmoja wa polisi mnamo mwezi Februari mwaka uliopita. Safia adaiwa kufanya kosa hilo baada ya kupokea maagizo kutoka kwenye kundi la kigaidi la IS.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 28721

Trending Articles