Dortmund yashindwa kupanda nafasi ya tatu
Borussia Dortmund walipoteza fursa ya kupanda hadi nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Bundesliga wakati kocha Thomas Tuchel akikabiliwa na kibarua kikali dhidi ya timu yake za zamani Mainz
View ArticleReal Madrid yajiimarisha kileleni Uhispania
Ilikuwa ni wikendi ya furaha tele mjini Madrid na hasa kwa klabu ya Real Madrid, maana wapinzani wake wote wa karibu waliangusha pointi katika michuano ya kinyang'nyiro cha La Liga
View ArticleMahamat rais mpya wa halmashauri kuu ya AU
Umoja wa Afrika umepata rais mpya wa halmashauri kuu ya Umoja huo. Naye ni waziri wa mambo ya nchi za nje wa Chad, Moussa Faki Mahamat, aliyechaguliwa kwa kura 39 kati ya 54 za nchi wanachama.
View ArticleTrump amfuta kazi Mwanasheria Mkuu
Rais wa Marekani Donald Trump amemfukuza kazi Kaimu Mwanasheria Mkuu nchini humo Sally Yates ambaye aliwaagiza watumishi wa idara hiyo kutofanyia kazi agizo la kuzuia wasafiri wanaotokea mataifa saba...
View ArticleMadaktari Kenya wapewa siku 5 waache kugoma
Mahakama ya Kenya siku ya Alhamisi (26.01.2017) imewapa madaktari na wauguzi siku 5 kumaliza mgomo wao. Hatua hiyo inabadili msimamo wa awali wa serikali kutishia kuwatupa gerezani maafisa wa chama cha...
View ArticleWaasi wa zamani Cote d'Ivoire wapandishwa vyeo
Rais wa Cote d'Ivoire amewapandisha vyeo makamanda wawili wa zamani wa waasi waliounga mkono upande wa serikali katika mazungumzo ya kuzima uasi wa wanajeshi mapema mwezi Januari.
View ArticlePolisi Ujerumani yawatia mbaroni washukiwa wa ugaidi
Polisi nchini Ujerumani imewakamata watu watatu wakihusishwa na kundi la itikadi kali linalojiita Dola la Kiislamu. Ni katika harakati zinazoendelea kuwagundua wanaopanga njama za kufanya mashambulio.
View ArticleAU yaidhinisha mkakati wa kujitoa katika ICC
Viongozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika - AU, wameidhinisha kile kinachoitwa wito wa mkakati wa hatua ya pamoja ya kujitoa katika mahakama ya uhalifu ya kimataifa- ICC
View ArticleAthari za kimazingira Ziwa Tanganyika
Shughuli za kibinadamu ni miongoni mwa kitisho chenye kuathiri ziwa hilo la pili kwa ukubwa Afrika lenye viumbe na mimea zaidi ya 1,500 ambavyo zaidi ya asilimia 40 havipatikani kwingine popote duniani.
View ArticleTrump apindua wezani wa korti kuu ya Marekani
Donald Trump amemteuwa jaji Neil Gorsuch kuwa mjumbe wa korti kuu na kuwapa Republican fursa ya kuidhibiti taasisi hiyo muhimu . Maamuzi ya rais mpya wa Marekani yanaonyesha kuungwa mkono na wananchi...
View ArticleMapigano yaibuka upya Ukraine
Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limetoa mwito wa kusitishwa mapigano mara moja nchini Ukaraine ambako ghasia mpya zilizoibuka katika kipindi cha siku tatu zimeuwa watu 13.
View ArticleBurkina Faso na Misri kupambana nusu fainali AFCON
Mashindano ya kandanda ya Kombe la mataifa ya Afrika, fainali zinazofanyika nchini Gabon, yanaingia hatua ya nusu fainali ambapo Jumatano usiku Burkina Faso itamenyana na miamba ya kaskazini Misri...
View ArticleKansela Angela Merkel wa Ujerumani kuizuru Uturuki (02.02.2016) ikiwa ni...
Ni ziara nyeti wakati Kansela Angela Merkel wa Ujerumani atakapoizuru Uturuki Alhamisi ikiwa ni ziara ya kwanzal tokea nchi hiyo ilipozima jaribio la mapinduzi.
View ArticleKansela Merkel kuizuru Uturuki
Ni ziara nyeti wakati Kansela Angela Merkel wa Ujerumani atakapoizuru Uturuki Alhamisi ikiwa ni ziara ya kwanzal tokea nchi hiyo ilipozima jaribio la mapinduzi.
View ArticleKiongozi mkuu wa upinzani Congo Etienne Tshisekedi afariki
Kiongozi mkuu wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Etienne Tshisekedi, ameaga dunia Jumatano (01.02.2017) mjini Brussels, Ubelgiji, akiwa na umri wa miaka 84.
View ArticleWacongo waomboleza kifo cha Tshisekedi
Etienne Tshisekedi, kiongozi wa upinzani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, amefariki dunia akiwa na miaka 84. Saleh Mwanamilongo amezungumza na wakazi wa Kinshasa kusikia wanachosema kuhusu kifo chake.
View ArticleSigmar Gabriel azuru Marekani
Waziri wa Mambo ya nchi za nje wa Ujerumani Sigmar Gabriel amesema atawasilisha ujumbe wa kirafiki nchini Marekani wakati atakapozuru nchini humo hii leo (02.02.2017)
View ArticleMisri yatinga fainali AFCON
Nusu fainali ya kwanza ya fainali za kombe la mataifa ya Afrika AFCON imekamilika kwa Mafarao wa Misri kuingia katika fainali kwa kuitoa nje ya mashindano hayo Burkina Faso.
View ArticleMapendekezo ya Trump yaendelea kupingwa na Baraza la Seneti
Rais wa Marekani, Donald Trump, amefanikiwa pale Rex Tillerson, alipoidhinishwa kuwa waziri wa mambo ya nje. Lakini bado anakabiliana na upinzani mkali, ikiwamo pendekezo lake la Jaji wa Mahakama Kuu...
View ArticleTrump afuta misaada kwa wanaotoa mimba
Maelfu ya wanawake watafariki dunia kutokana na utoaji mimba usio salama. Yote hayo yatatokana na uamuzi wa Rais Donald Trump kufuta ufadhili wa Marekani kwa makundi yanayosaidia wanawake kutoa mimba.
View Article