Etienne Tshisekedi, kiongozi wa upinzani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, amefariki dunia akiwa na miaka 84. Saleh Mwanamilongo amezungumza na wakazi wa Kinshasa kusikia wanachosema kuhusu kifo chake.
↧