Polisi nchini Ujerumani imewakamata watu watatu wakihusishwa na kundi la itikadi kali linalojiita Dola la Kiislamu. Ni katika harakati zinazoendelea kuwagundua wanaopanga njama za kufanya mashambulio.
↧