$ 0 0 Watu saba wameuwawa na 20 kujeruhiwa baada ya wanamgambo wa al-Shabaab kuivamia hoteli moja mjini Mogadishu kwa magari yaliyojaa mabomu.