$ 0 0 Mke wa mgombea urais wa Ufaransa anayeongoza, Francois Fillon, anatuhumiwa kupokea euro 600,000 kwa ajira ambayo kamwe hajawahi kuifanyia kazi.