Waziri Mkuu wa Iraq Haider al-Abadi ametangaza rasmi kukombolewa upande wa mashariki wa mji wa Mosul ambao hapo awali ulikuwa ukidhibitiwa na wanamgambo wa kundi la itikadi kali linalojiita Dola la Kiisilamu (IS).
↧