Quantcast
Channel: DW Kiswahili
Viewing all articles
Browse latest Browse all 28721

Siasa kali za kizalendo zinaathiri vita dhidi ya rushwa

$
0
0
Kuongezeka kwa viongozi wa siasa kali za kizalendo za mrengo wa kulia duniani kunatishia kudhoofisha vita dhidi ya rushwa. Hayo ni kwa mujibu wa shirika la kupambana na ufisadi, Transparency International – TI

Viewing all articles
Browse latest Browse all 28721

Trending Articles