Shirika la Human Rights Watch na hali nchini Burundi
Kundi la tawi la vijana la chama tawala nchini Burundi, Imbomerakure limekuwa likiwahangaisha watu wengi nchini humo kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la haki za binaadamu, Human Rights Watch,
View ArticleMajeshi ya Afrika yako tayari kuingia Gambia
Majeshi Senegal yakiungwa mkono na mengine ya Afrika yameweka kambi katika mpaka na Gambia baada ya rais Yahya Jammeh kukataa kuachia madaraka wakati huu ambapo akiendelea kutengwa na maafisa wa...
View ArticleIran yazidi kuitetea nafasi yake siasa za Mashariki ya kati
Iran inayatazama mazumgumzo ya amani nchini Syria wiki ijayo kama nafasi ya kujenga mshikamano wake wa kikanda wakati pia Urusi na Uturuki zikidai kuwa na ushawishi mkubwa nchini Syria.
View ArticleDonald Trump aapishwa rais wa 45 Marekani
Donald Trump,ameapishwa rasmi kuwa rais wa 45 wa Marekani katika sherehe zilizofanyika jijini Washington na kuahidi kuwaunganisha Wamarekani wote pamoja na kuifanya nchi hiyo kuwa Dola lenye nguvu tena.
View ArticleJammeh akubali kuachia madaraka
Kiongozi wa Gambia, Yahya Jammeh, amekubali kuachia madaraka baada ya kuongoza kwa miaka 22. Hatua hiyo inakuja kufuatia mazungumzo na viongozi wa nchi za Afrika Magharibi, waliotishia kumuondoa kwa...
View ArticleVyama vya sera kali za mrengo wa kulia Ulaya vyakutana Ujerumani
Viongozi wa vyama vya sera kali za mrengo wa kulia vinavyotambulikana barani Ulaya wamejigamba juu ya matumaini ya vyama vyao wakati wa mkutano uliofanyika Jumapili (22.01.2017) katika mji wa Koblenz...
View ArticleMaandamano ya wanawake dhidi ya Trump
Wanawake walimiminika mjini Washington Jumamosi (21.01.2017)kuelezea wasi wasi wao, hasira baada ya Donald Trump kuingia madarakani nchini Marekani akiwa rais wa 45, katika "maandamano ya wanawake...
View ArticleHakuna kinga ya kutoshtakiwa kwa Yahya Jammeh
Viongozi wa mataifa ya Afrika magharibi hawakukubaliana kumpa kinga ya kutoshtakiwa Yahya Jammeh wakati wa mazungumzo yao ambayo yalimshawishi kukimbilia uhamishoni.
View ArticleYahya Jammeh hana kinga ya kutoshtakiwa
Viongozi wa mataifa ya Afrika magharibi hawakukubaliana kumpa kinga ya kutoshtakiwa Yahya Jammeh wakati wa mazungumzo yao ambayo yalimshawishi kukimbilia uhamishoni.
View ArticleMazungumzo ya amani ya Syria yaanza Astana
Mkutano wa kuutafutia ufumbuzi wa mgogoro wa Syria umefunguliwa leo katika mji mkuu wa Kazakhstan, Astana ambapo wawakilishi wa makundi ya waasi wanakutana na upande wa serikali.
View ArticleRais Adama Barrow kurejea nchini Gambia
Barrow atarejea kutoka Senegal kuchukua hatamu za uongozi nchini Gambia. Wakati huo huo, Yahya Jammeh alaumiwa kwa kuiba mamilioni ya dola kutoka kwenye hazina kuu kabla ya kuondoka
View ArticleRais Trump avutana na vyombo vya habari
Rais Donald Trump ameanza juma la kwanza la majukumu yake ya urais huku akiwa katika vita vya maneno na vyombo vya habari jambo linalozusha swali ni kwa kiwango gani taarifa za Ikulu zinaweza kuwa za...
View ArticleMazungumzo ya Astana yaanza kwa mashaka
Mazungumzo ya amani ya Syria nchini Kazakhstan huenda nayo yasifike popote kama yalivyokuwa ya Geneva na vikao vya Umoja wa Mataifa jijini New York, kwa kauli kali za washiriki wakuu wa mazungumzo hayo.
View ArticleWafungwa 300 waachiwa huru Burundi
Mamia ya wafungwa wameachiwa huru Jumatatu kwenye jela kuu ya Mpimba Bujumbura, likiwa ni zoezi la kupunguza msongamano katika magereza mbali mbali nchini humo.
View ArticleGabon yaaga mashindano ya Afcon
Wenyeji wa mashindano ya fainali za kombe la mataifa ya Afrika Gabon waaga mashindano, Senegal, Burkina Faso, na Cameroon zatinga robo fainali , Tunisia matumaini ni makubwa katika...
View ArticleRB Leipzig bado yaonesha ubabe
Timu ya RB Leipzig iliyopanda daraja msimu huu imeendelea kuonesha kwamba hakuna wa kuiporomoa kutoka kilelele mwa ligi ikiisaka Bayern Munich iliyoko kileleni.
View ArticleOxfam: Pengo kati ya matajiri na masikini laongezeka
Pengo kati ya matajiri na maskini limeelezwa kuwa kubwa kuliko ilivyodhaniwa awali huku watu wanane tu kuanzia Bill Gates hadi Michael Bloomberg wakimiliki utajiri sawa na wa watu bilioni 3.6.
View ArticleMazungumzo ya Syria yaanza kwa mashaka
Mazungumzo ya amani ya Syria nchini Kazakhstan huenda nayo yasifike popote kama yalivyokuwa ya Geneva na vikao vya Umoja wa Mataifa jijini New York, kwa kauli kali za washiriki wakuu wa mazungumzo hayo.
View ArticleBarrow amteua mwanamke kuwa makamu wa rais
Rais wa Gambia, Adama Barrow amemteua Fatoumata Jallow-Tambajang kuwa Makamu wa Rais. Huo ni uteuzi wa kwanza tangu Barrow alipochukua madaraka Januari 19.
View ArticleMazungumzo Syria yaendelea baada ya siku ngumu
Mazungumzo ya amani kati ya serikali ya Syria na upanda wa upinzani yamendelea Kazakhstan, baada ya siku ya kwanza ngumu ambamo pande hizo zilitupiana maneno makali lakini zikakubaliana kuendeleza...
View Article