Mazungumzo ya amani kati ya serikali ya Syria na upanda wa upinzani yamendelea Kazakhstan, baada ya siku ya kwanza ngumu ambamo pande hizo zilitupiana maneno makali lakini zikakubaliana kuendeleza usitishaji mapigano.
↧