Maandamano ya February 13 dhidi ya wanazi
13.02 ni siku ya kukumbuka jinsi mji wa Dresden ulivyoshambuliwa mwaka 1945.Tarehe hiyo inatumiwa na wanazi tangu mwishoni mwa miaka ya 90 kueneza propaganda zao.Wananchi walio wengi wanaipinga...
View ArticleZambia ndio mabingwa wa soka barani Afrika
Zambia imeshinda taji lao la kwanza la mataifa ya bara la Afrika mjini Libreville, mji ambao miaka 19 iliyopita umekuwa eneo la mkasa mbaya zaidi kuwahi kuikumba soka ya nchi hiyo.
View ArticleMauwaji ya Waasi kaskazini ya Mali
Jumuia ya kimataifa imelaani vikali mauwaji ya kinyama yaliyofanywa na waasi wa Touareg kaskazini mwa jamhuri ya Mali.Mapigano katika eneo hilo yamepelekea maelfu ya watu kuyapa kisogo maskani yao.
View ArticleKenia: Kongamano la Kielelezo cha Umoja wa Mataifa
Kongamano la Kielelezo cha Umoja wa Mataifa Afrika Mashariki linalojumuisha wanafunzi wa shule za upili na vyuo vikuu kutoka mataifa 195 wanachama wa Umoja wa Mataifa limefunguliwa leo hapa Nairobi.
View ArticleMkopo kwa Ugiriki bado una vizingiti
Ugiriki imesema bado inakabiliwa na changamoto kubwa kushawishi Umoja wa Ulaya na Shirika la Fedha Ulimwenguni, IMF, kuipatia mkopo mwingine wa kunusuru uchumi wake na kitisho cha kufilisika.
View ArticlePillay alaani ghasia Syria
Mkuu wa kamisheni ya kutetea haki za binaadam wa Umoja wa Mataifa Navi Pillay amemshutumu rais wa Syria Bashar Al Assad kwa kuanzisha mashambulizi makali dhidi ya upinzani unaodai demokrasia.
View ArticleFebruary 13-kumbu kumbu za siku Dresden iliposhambuliwa
Madege yanchi shirika zilizopigana vita dhidi ya Ujerumani ya wanazi yaliuteketeza mji wa Dresden muda mfupi kabla ya vita vikuu vya pili kumalizika mwaka 1945.
View ArticleWahariri wasema Ugiriki itoke Umoja wa Euro
Wahariri wa magazeti leo wanauzungumzia mgogoro wa Ugiriki na mkasa wa kushambuliwa afisa wa kibalozi wa Israel nchini India.Wahariri wanasema itakuwa bora kwa Ugiriki kujitenga na Umoja wa Ulaya.
View ArticleChina yasema iko tayari kuusadia Umoja wa Ulaya
Kwenye mkutano kati ya China na Umoja wa Ulaya unaofanyika mjini Beijing, waziri mkuu wa China, Wen Jiabao, ameahidi kuusadia umoja huo kutatua tatizo la madeni bila kutoa maelezo ya kina kuhusu msaada...
View ArticleMapigano katika mji wa Beni,DRC
Katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, kulizuka mapigano alfajiri ya leo (15.02.2012) katika mji wa Beni, uliyoko kwenye mkoa wa Kivu ya kaskazini.
View ArticleMkutano wa siku mbili kuhusu Somalia
Serikali ya mpito na Somalia na mashirika kadhaa ya huduma za jamii wanakutana kuzungumzia jinsi ya kujumuishwa koo za nchi hiyo katika serikali mpya huku wakinamama wakidai wabebeshwe jukumu kubwa...
View ArticleBomba la mafuta lalipuliwa Homs
Nchini Syria kumefanyika hujuma kwenye bomba la mafuta na kusababisha moto mkubwa katika mji wa Homs ambao kwa wiki mbili zilizopita umeshuhudia kiwango kikubwa cha ghasia na operesheni za jeshi la...
View ArticleMwanamuziki Whitney Houston afariki
Mwanamuziki mashuhuri wa Marekani Whitney Houston amefariki dunia. Polisi katika mji wa Los Angeles nchini Marekani wamesema Whitney (48), amekutwa amekufa katika hoteli ya Beverly Hills.
View ArticleVikosi vya Syria vyaendeleza mashambulizi dhidi ya wapinzani
Vikosi vya Syria vimeushambulia mji wa Deraa hii leo katika juhudi za kujaribu kuwachakaza wanajeshi walioasi katika mji huo ambamo upinzani dhidi ya rais wa nchi hiyo, Bashar al Assad, ulianza Machi...
View ArticleJuhudi zaidi kupambana na Al Shabaab zahitajika
Kundi la Kimataifa linaloshughulikia migogoro linasema ni lazima Kenya itafute mikakati maalum ya kushirikiana na Jamii ya Kimataifa katika kupambana na kundi hilo.
View ArticleSarkozy atangaza kugombea tena
Rais Nicolas Sarkozy wa Ufaransa ametangaza kuwa atagombea kipindi kingine cha Urais wakati ambapo kura za maoni zinaonyesha kuwa yupo nyuma ya mgombea wa chama cha upinzani Francois Hollande
View ArticleBaraza kuu la Umoja wa Mataifa lapitisha azimio dhidi ya Syria
Baraza kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio linalotaka ukandamizaji nchini Syria ukome mara moja. Azimio linamtaka rais wa Syria, Bashar al Assad aondoke madarakani.
View ArticleWalibya waadhimisha mwaka mmoja wa kumng´oa Gaddafi
Libya yaadhimisha mwaka mmoja tangu kuangushwa kwa utawala wa Muamer Gadhafi kwa kufyatua baruti na kutembeza mabango mitaani, wakati kiongozi wao mpya akiapa kulinda amani na utulivu.
View ArticleRais wa shirikisho Christian Wulff ajiuzulu
Pendekezo la mwendesha mashtaka mkuu wa jiji la Hannover kutaka rais Wulff apokonywe kinga yake ya kutoandamwa ndilo lililomaliza udhia .
View ArticleRais Wulff wa Ujerumani ajiuzulu
Rais wa Ujerumani Christian Wulff amejiuzulu. Kiongozi huyo amekuwa akikabiliwa na kashfa ya kupokea mkopo wa fedha katika njia ambazo si halali, na uungwaji mkono kwake umeshuka sana.
View Article