Zambia na Cote d'ivoire kuumana katika fainali
'Chipolopolo' wa Zambia na 'The Elephants ' wa Cote d'ivoire ndio watakaokutana katika fainali ya kombe la mataifa ya bara la Afrika baada ya kushinda mechi zao za nusu fainali.
View ArticleTanzania: Matokeo ya Mtihani kidato cha Nne
Baraza la Mtihani la Taifa nchini Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa Kidato cha Nne uliofanyika mwaka jana.
View ArticleMuafaka washindikana Ugiriki
Mazungumzo ya wanasiasa nchini Ugiriki yamemalizika bila muafaka juu ya mageuzi na hatua za kubana matumizi, ambavyo viliwekwa na wakopeshaji kama sharti la kupewa mkopo mpya wa kuinusuru nchi hiyo...
View ArticleRais wa zamani wa Maldives kukamatwa?
Mahakama ya Maldives imetoa waranti wa kuwezesha kukamatwa kwa aliekuwa rais wa visiwa hivyo, Mohammed Nasheed, pamoja na aliyekuwa waziri wake wa ulinzi huku jeshi likitumwa katika mji wenye machafuko...
View ArticleIsrael yaonya silaha za Syria kuangukia Hizbullah
Watu 31 wameuwawa Syria baada ya vikosi vya Jeshi la Rais Bashar al- Assad kuushambulia mji wa Homs, huku Israel ikionya juu ya uwezekano wa silaha za Syria kupelekwa kwa kundi la Hizbullah la Lebanon.
View ArticleMkopo kwa Ugiriki bado uko mbali
Mataifa ya eneo la euro yanataka kuendelea kutoa msaada kwa Ugiriki lakini kwanza ni pale tu nchi hiyo ambayo imezongwa na madeni itakapopiga hatua ya kutimiza masharti yote yanayotakiwa na Umoja wa...
View ArticleSomalia: Al Shabab yajiunga na Al Qaeda
Huenda visa vya kigaidi vikaongezeka duniani kufuatia kundi la Al Qaeda kutangaza wazi kwamba kundi la waasi nchini Somalia Al shabaab limejiunga rasmi na wanamgambo hao wa kigaidi.
View ArticleMadaktari warejea kazini Tanzania
Mgomo wa madaktari nchini Tanzania, mbao umedumu kwa zaidi ya wiki mbili sasa hatimae umemalizika na madaktari hao kuanza kazi leo hii
View ArticleKutoka mlinzi wa rais hadi mkimbizi
Ni shida kwa mwanaadamu anapokuwa kwenye kilele cha mafanikio ya kawaida, kuamini kwamba anaweza mara moja kujikuta akiwa ameanguka chini akiwa amepoteza kila kitu maishani, akiwa katikati ya mateso na...
View Article"Ukimwi wasahaulika DRC"
Shirika la Madaktari Wasiokuwa na Mipaka linasema katika ripoti yake ya mwaka huu kwamba Ukimwi ni ugonjwa uliosahaulika kabisa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo licha ya kuwapo watu wengi...
View ArticleVijana, mazingira na dunia ya kesho
Uchafuzi wa mazingira unatishia sio tu usalama wa afya kwa wakati tulionao, bali pia mustakabali wa sayari ya dunia kwa miaka ijayo, ambapo kizazi kijacho kitajikuta kimekosa mahala salama pa...
View ArticleWesterwelle atangaza sera mpya ya Ujerumani
Magazeti ya Ujerumani yameandika juu ya kukamatwa Katibu Mkuu wa chama cha upinzani nchini Kongo Jacquemain Shabani. Pia yameandika juu ya mvutano wa kisiasa nchini Senegal baada ya Rais Wade...
View ArticleWatu 28 wauwawa katika shambulio la bomu Syria
Mabomu mawili yaliyotegwa katika magari yakilenga vituo vya usalama katika mji wa Aleppo yameuwa kiasi watu 28, huku waasi wakiishutumu serikali ya nchi hiyo kwa kuanzisha mashambulizi ili kuepuka lawama.
View ArticleAfrika Wiki Hii: Madaktari wa Tanzania wasitisha mgomo wao
Bara la Afrika katika kipindi cha wiki iliyopita, limeshuhudia mgomo wa madaktari nchini Tanzania ukikuwa na kumalizika, muswada wa mashoga nchini Uganda ukipigwa danadana na nchini Burundi...
View ArticleMwanamuziki Whitney Houston afariki
Mwanamuziki mashuhuri wa nchini Marekani Whitney Houston ameaga dunia. Polisi mjini Los Angeles wamesema Whitney ambaye alikuwa na umri wa miaka 48, amekutwa amekufa katika hoteli iliyopo mtaa wa...
View ArticleUgiriki yaidhinisha hatua za kubana matumizi
Bunge la Ugiriki limeidhinisha hatua kali za kupunguza matumizi ya serikali katika juhudi ya kudhibiti uchumi wake unaoelekea kuporomoka.
View ArticleJeshi la Syria laanza tena kuushambulia mji wa Homs
Majeshi ya Syria leo hii yameanza tena kuushambuliwa mji wa maandamani wa Homs, baada ya serikali ya nchi hiyo kukataa mpango wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu wa kutaka kupelekwa vikosi vya kulinda amani...
View ArticleUgiriki yaidhinisha hatua za kubana matumizi
Bunge la Ugiriki limeidhinisha hatua kali za kupunguza matumizi ya serikali katika juhudi ya kudhibiti uchumi wake unaoelekea kuporomoka.
View ArticleMwanamuziki Whitney Houston afariki
Mwanamuziki mashuhuri wa Marekani Whitney Houston amefariki dunia. Polisi katika mji wa Los Angeles wamesema Whitney ambaye alikuwa na umri wa miaka 48, amekutwa amekufa katika hoteli ya Beverly Hills...
View Article