Mchuano wa kombe la mataifa ya Afrika kati ya Misri na Jamhuri ya Afrika ya...
Mchuano wa kufuzu kwa fainali za kombe la mataifa ya bara la Afrika kati ya Misri na Jamhuri ya Afrika ya Kati umeahirishwa hadi mwezi Juni kufuatia ghasia za soka mjini Port Said zilizowauwa watu 74...
View ArticleBaraza la usalama lawaonya waasi wa Darfur
Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limeyataka makundi yote yenye silaha katika jimbo la Darfur magharibi mwa Sudan kufanya mashauriano ya kutafuta amani na serikali ya Sudan.
View ArticleChina yataka machafuko yasitishwe nchini Syria
China imesema leo Jumamosi (18.02.2012) kuwa inaunga mkono mipango ya Rais wa Syria Bashar al-Assad, kuandaa kura ya maoni kuhusu katiba mpya na uchaguzi utakaokubalia mfumo wa vyama vingi vya kisiasa
View ArticleJuhudi Zaendelea Kumtafuta Rais Mpya Ujerumani
Mazungumzo ya awali kumtafuta rais mpya wa Ujerumani yanaendelea Jumapili, baada ya vyama vya kisiasa kushindwa kupata muafaka Jumamosi, siku moja baada ya Christian Wulff kujiuzulu kutokana na...
View ArticleKujizulu kwa Wulff kwamweka matatani Merkel
Uamuzi wa Christian Wulff wa kujiuzulu kutoka katika wadhifa huo ambao kwa kiasi kikubwa ni wa heshima umemuweka kansela Merkel katika hali ya mvurugiko wa kisiasa nyumbani Ujerumani
View ArticleMagazeti ya Ujerumani yaandika juu ya Mali,Boko Haram na hatari ya mitumba
Magazeti ya Ujerumani wiki hii yameandika juu ya mgogoro wa Mali, Mkataba wa amani baina ya Sudan na Sudan ya kusini na juu ya kundi la wanaitikadi kali wa kiislamu Boko Haram la nchini Nigeria.
View ArticleKanda ya euro kuidhinisha mkopo wa Ugiriki
Mawaziri wa fedha wa nchi zinazotumia sarafu ya euro leo hii wanatarajiwa kupitisha awamu ya pili ya mkopo wa kiasi cha euro bilioni 130 kwa lengo la kuinusuru Ugiriki isifilisike.
View ArticleGauck ateuliwa kugombea urais wa Ujerumani
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amekubali kumuunga mkono mwanaharakati wa kutetea haki za kiraia kutoka iliyokuwa Ujerumani Mashariki, Joachim Gauck, kuwa rais mpya.
View ArticleVyama vya kisiasa vyakubaliana Gauck awe Rais wa Shirikisho
Mada moja tu imehanikiza magazetini :uamuzi wa vyama vinavyounda serikali kuu ya muungano mjini Berlin kuridhia mteule wa vyama vya upinzani vya SPD/Die Grüne,Joachim Gauck awe rais wa shirikisho.
View ArticleBorussia Dortmund washika usukani wa Bundesliga
Mabingwa watetezi Borussia Dortmund wamechukua usukani katika kinyang'anyiro cha ligi ya soka Ujerumani Bundesliga huku msimu ukijiandaa kuingia katika awamu ya tatu na ya mwisho
View ArticleWapinzani waitisha maandamano mapya Senegal
Upinzani nchini Senegal umeitisha maandamano mapya leo (20-02-2012), wito unaoonekana kuchochea ghasia zaidi, siku sita kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu, ambapo Rais Abdoulaye Wade, atashiriki.
View ArticleUgiriki yaokolewa
Mawaziri wa fedha wa nchi za Umoja wa sarafu ya Euro kwenye mkutano wao mjini Brussels wameupitisha mpango wa Euro Bilioni 130 kwa ajili ya kuiokoa Ugiriki.Taarifa za kidiplomasia zimethibitisha
View ArticleYemen Yafanya Uchaguzi wa Rais
Wananchi wa Yemen wanapiga kura leo kumchagua rais mpya, kuchukua nafasi ya Ali Abdullah Saleh ambaye ameachia madaraka chini ya mkataba wa kumaliza machafuko. Kulikuwa na uitikiaji mkubwa licha ya...
View ArticleKuteuliwa Gauck apiganie wadhifa wa Rais wa shirikisho
Jinsi karata zilivyochanganywa na malengo ya kuteuliwa mwanaharakati wa haki za binaadam Joachim Gauck awe rais wa shirikisho ndio suala kuu lililochambuliwa na wahariri wa magazeti ya Ujerumani hii leo.
View ArticleUgiriki yapata mkopo mpya
Baada ya zaidi ya muda wa masaa 12 ya mazungumzo mjini Brussels, Ubelgiji, nchi zinazotumia sarafu ya euro zimekubaliana mapema leo kuipa Ugiriki mkopo mpya wa Euro bilioni 130 ili kuiepusha...
View ArticleKitisho cha itikadi kali ya dini ya kiislam kuingia Senegal
Wadadisi wameingiwa na wasi wasi wanamgambo wa Al Qaida katika eneo la Maghreb.Aqmi wasije wakaitumia hali ya mambo na kujipenyeza Senegal.
View ArticleHatima ya Ugiriki baada ya makubaliano ya Brussels
Makubaliano ya kuipatia Ugiriki fungu la pili la msaada wa kuiokoa nchi hiyo isifilisike ndiyo yaliyohanikiza magazetini hii leo.
View ArticleWatu 5 wajeruhiwa Afghanistan
Watu watano wameuwawa na wengine kujeruhiwa wakati wa maandamano katika mji wa Jalalabad mashariki mwa Afghanistan. Polisi waliwavyatulia risasi waandamanaji wanaopinga kuchomwa kwa nakala za Qoran, na...
View ArticleTanzania: Mgogoro ndani ya chama cha CUF
Nchini Tanzania chama cha wananchi CUF kimeanza kukabiliwa na hali ya mkwamo wa kisiasa huku baadhi ya wanachama wake muhimu ikiwemo viongozi wakianza kukitupa mkono, wakijiaanda kuanzisha chama kipya...
View ArticleWaandishi habari wauwawa Syria
Vikosi vya rais wa Syria Bashar al Assad vinaendelea kufanya mashambulizi zaidi katika mji wa Homs ambapo hii leo watu 19 wameuwawa wakiwemo waandishi habari wawili kutoka nchi za magharibi.
View Article