Mashambulizi ya serikali ya Syria yasababisha vifo 20 Idlib
Watu 20 wameuawa katika mashambulizi ya anga ya vikosi vya serikali yenye lengo la kutaka kuwapokonya waasi ngome yao ya mwisho ya mkoa wa Idlib.
View ArticleUtulivu warudi New Delhi baada ya ghasia kuuwa watu 20
Hali katika mji mkuu wa India, New Delhi, imeanza kurejea baada ya ghasia kati ya waumini wa dini ya Kihindu na Waislamu kukabiliana na kupelekea vifo vya watu 20 na wengine zaidi ya 200 kujeruhiwa.
View ArticleMgonjwa wa Corona Ujerumani yuko mahututi
Maafisa kwenye eneo la magharibi mwa Ujerumani wamesema mwanaume ambaye ameambukizwa virusi vya Corona yuko katika hali mbaya na amehamishiwa kwenye hospitali maalum ya mjini Duesseldorf.
View ArticleBayern yaichapa Chelsea magoli 3-0 katika Champions League
Klabu ya Bayern Munich imeitandika klabu ya Chelsea ya England mabao 3-0 katika mechi ya 16 bora ya kuwania ubingwa wa vilabu barani Ulaya huku Gnabry akitupia mabao mawili.
View ArticleKlabu ya Zamalek kuadhibiwa baada ya kutofika uwanjani
Shirikisho la soka nchini Misri EFA limeahidi kuchukua hatua baada ya mafahali wa mjini Cairo Zamalek kushindwa kufika katika mchezo wa watani wa jadi jana dhidi ya mahasimu wao wakubwa Al...
View ArticleMisri yamzika Hosni Mubarak kwa heshima za kijeshi
Misri inafanya mazishi ya heshima za kijeshi, ya aliyekuwa rais wa muda mrefu wa nchi hiyo Hosni Mubarak ambaye aliondolewa madarakani wakati wa wimbi la vuguvugu la maandamano.
View ArticleNzige watua Congo
Kundi dogo la nzige wa jangwani limeingia katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ikiwa ni mara ya kwanza kwa wadudu hao hatari kuonekana katika taifa la Afrika ya Kati tangu mwaka 1944.
View ArticlePande hasimu zakutana kwa mazungumzo Geneva
Mahasimu wa kisiasa wa Libya wamekutana leo Jumatano 26.02.2020 katika mazungumzo chini ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva. Mazungumzo hayo yalilenga kumaliza awamu mpya ya mapigano katika mji mkuu wa...
View ArticleWHO: Hakuna haja ya kuwa na hofu ya virusi vya Corona
Shirika la Afya Duniani limesema idadi ya wagonjwa wapya wa virusi vya Corona walioorodheshwa Jumanne imeongezeka hadi watu 80,988 katika nchi 33 duniani, lakini hakuna haja ya kuwa na hofu kuhusu...
View ArticleUpinzani Syria warejesha udhibiti mji muhimu wa Idlib
Katika mkoa wa Idlib nchini Syria, waasi wamerejesha udhibiti wa mji wa kimkakati wa Saraqeb, huku vikosi vya serikali vikitajwa kufanikiwa kuchukua udhibiti kamili wa eneo la kusini la mkoa huo.
View ArticleKenya: Abiria 239 toka China watakiwa kujiweka karantini
Serikali ya Kenya imejikuta pabaya baada ya abiria 239 kwenye ndege iliyotokea China kutua na kuruhusiwa kuingia nchini saa chache zilizopita
View ArticleNchi kadhaa zachukua tahadhari ya janga la virusi vya Corona
Serikali za mataifa kadhaa zinachukua hatua kupambana na janga linaloelekea kuikabili dunia la virusi vya Corona wakati idadi ya watu walioambukizwa nje ya China ikipita wale walioambukizwa ndani ya...
View ArticleUpinzani Tanzania wakosoa taarifa ya Kabudi kwa baraza la haki za binadamu
Vyama vya upinzani nchini Tanzania vimekosoa vikali taarifa iliyotolewa na waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo katika kikao cha baraza la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa mjini Geneva
View ArticleUlaya yataka ushirikiano wa karibu zaidi wa kibiashara na bara la Afrika
Rais wa halmashauri ya Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen amefanya mazungumzo na viongozi wa Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa, sambamba na juhudi za mkakati mpya wa Ulaya kuhusu Afrika...
View ArticleKisa cha kwanza cha Corona charipotiwa Lagos,Nigeria
Maafisa wa afya nchini Nigeria wameripoti kisa cha kwanza cha virusi vya Corona mjini Lagos. Taifa hilo limekuwa la kwanza katika eneo la Kusini mwa Jangwa la Sahara kukumbwa na virusi hivyo.
View ArticleNATO yalaani mashambulizi nchini Syria
Katibu mkuu wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO, Jens Stoltenberg amelaani mashambulizi ya angani yanayofanywa na serikali ya rais Bashar al-Assad na Urusi baada ya wanajeshi 33 wa Uturuki kuuawa katika...
View ArticleMgonjwa wa kwanza Hamburg wa Corona ni daktari
Waziri wa afya mjini Hamburg ameuambia mkutano wa waandishi habari kwamba mtu wa kwanza kuambukizwa virusi vya Corona Kaskazini mwa Ujerumani ni daktari anayefanya kazi katika hospitali ya chuo kikuu...
View ArticleNATO yasema itasimama na Uturuki katika suala la Syria
Washirika wa jumuiya ya kijeshi ya NATO wamelaani mashambulio yaliyofanywa na vikosi vya serikali ya Syria vinavyoungwa mkono na Urusi na kusabaisha vifo vya askari 33 wa Uturuki katika mkoa wa Idlib.
View ArticleKongo: Vita dhidi ya ubadhirifu wa fedha za umma
Kamata kamata inaendelea mjini Kinshasa katika juhudi za rais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo,Felix Tshisekedi,za kupambana na rushwa na ubadhirifu wa mali za umma.
View ArticleVirusi vya Corona vyaanza kuathiri uchumi
Mripuko wa virusi vya Corona Ijumaa hii ulianza kuonekana zaidi kama mgogoro wa kiuchumi duniani kote katika wakati ambapo wasiwasi unaongezeka kufuatia ripoti za maambukizi mapya.
View Article