Shirikisho la soka nchini Misri EFA limeahidi kuchukua hatua baada ya mafahali wa mjini Cairo Zamalek kushindwa kufika katika mchezo wa watani wa jadi jana dhidi ya mahasimu wao wakubwa Al Ahly mjini Cairo.
↧