$ 0 0 Serikali ya Kenya imejikuta pabaya baada ya abiria 239 kwenye ndege iliyotokea China kutua na kuruhusiwa kuingia nchini saa chache zilizopita