Katika mkoa wa Idlib nchini Syria, waasi wamerejesha udhibiti wa mji wa kimkakati wa Saraqeb, huku vikosi vya serikali vikitajwa kufanikiwa kuchukua udhibiti kamili wa eneo la kusini la mkoa huo.
↧