Mapigano kati ya India na Pakistan yaendelea licha ya kuachiliwa huru rubani...
Wanajeshi wa Pakistan na India kwa mara nyingine tena wameshambuliana katika vijiji vya eneo linalozozaniwa la Kashmir, na kusababisha vifo vya zaidi ya raia sita na wanajeshi wawili wa Pakistan.
View ArticleBouteflika ambadilisha meneja wake wa kampeni ya urais
Rais wa Algeria Abdelaziz Bouteflika amembadilisha meneja wake wa kampeni kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Aprili ambapo anatarajiwa kuwania muhula wa tano madarakani,shirika la habari la APS limesema...
View ArticleMarekani na Korea Kusini zapanga kusitisha Luteka za kijeshi
Marekani na Korea Kusini zimetangaza kuwa zinasitisha luteka za kijeshi za pamoja ambazo hufanyika mara mbili kila mwaka.
View ArticleWanafunzi Algeria waandamana kupinga muhula wa tano wa Bouteflika
Wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Algeria wamefanya maandamano katika sehemu kadhaa za mji mkuu wa Algeria, Algiers kupinga jitihada za Rais Abdelaziz Bouteflika kugombea muhula wa tano katika uchaguzi...
View ArticleBouteflika: Nitaitisha uchaguzi wa mapema nikichaguliwa tena
Rais wa Algeria Abdelaziz Bouteflika ameahidi kwamba hatahudumu kwa muhula kamili iwapo atachaguliwa tena kama rais katika uchaguzi wa mwezi Aprili, baada ya maandamano makubwa kufanyika nchini humo.
View ArticleUpinzani Venezuela unajiandaa kwa maandamano
Wafuasi wa upande wa upinzani nchini Venezuela wanapanga kuteremka majiani leo baada ya kiongozi wao Juan Guaido kuwataka waandamane dhidi ya rais Nicolas Maduro.
View ArticleMarekani yaufunga ubalozi wake mdogo mjini Jerusalem
Hatua ya Marekani ya kuufunga ubalozi wake mdogo mjini Jerusalem ni hatua ya kuuteremsha hadhi uwakilishi wake wa kibalozi kwa Wapalestina. Uamuzi huo umetangazwa Jumatatu na wizara ya mambo ya nje ya...
View ArticleStuttgart yaweka hai matumaini ya kubaki katika Bundesliga
Timu mbili za Bundesliga zimetoa mifano miwili inayotofautiana kuhusu thamani ya kuwabadilisha, au kuendelea kuwapa muda makocha katika mapambano ya katikati ya msimu ya kuepuka kushuka daraja.
View ArticleDortmund na mtihani mkubwa katika Champions League
Borussia Dortmund wanashuka dimbani uwanjani Signal Iduna Park kupambana na Tottenham Hotspur katika mechi ya mkondo wa pili wa hatua ya 16 za mwisho ya Ligi ya Mabingwa Ulaya
View ArticlePakistan yaapa kupambana na wanamgambo
Pakistan imesema pamoja na shinikizo la kimataifa kuitaka kuchukua hatua baada ya kutokea shambulio la kujitoa muhanga nchini India, inakusudia kuyakabili makundi ya wanamgambo.
View ArticleWabunge wa democratic waanzisha uchunguzi mpya dhidi ya Trump
Wabunge wa chama cha democratic nchini Marekani wameanzisha uchunguzi mpya dhidi ya Rais Donald Trump, ambao unatishia kumzonga rais huyo hadi msimu wa uchaguzi wa mwaka 2020.
View ArticleMwathirika wa pili wa Ukimwi aondolewa Virusi
Jopo la wanasayansi limetangaza kufanikiwa kumuondolea virusi mwathirika wa Virusi vya Ukimwi ama VVU kwa kutumia tiba ya kumpandikiza uboho kutoka kwa mtu ambaye hajaathirika na virusi hivyo. Huyu ni...
View ArticleJuan Guaido apokelewa kwa shangwe aliporejea Caracas
Kiongozi wa upinzani wa Venezuela, Juan Guaido amepokelewa kwa shangwe aliporejea nyumbani licha ya hofu ya kukamatwa na kutoa wito wa kuitishwa maandamano makubwa jumamosi inayokuja kumshinikiza rais...
View ArticleDhuluma dhidi ya waandishi wa habari Kenya zaongezeka?
Kati ya mwezi Januari na Februari mwaka 2019, baraza la vyombo vya habari nchini Kenya, limepokea ripoti 18 kutoka maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu visa vya dhuluma dhidi ya waandishi wa habari.
View ArticleBeckenbauer: Mechi ya Bayern na Dortmund itaamua ubingwa
Rais wa Bayern Munich Franz Beckenbauer anaamini kuwa taji la msimu huu la Bundesliga litaamuliwa katika mtanange wa nyumbani wa mabingwa hao dhidi ya vinara wa sasa Borussia Dortmund
View ArticleKiongozi wa upinzani Sudan aachiliwa
Kiongozi mwandamizi wa upinzani nchini Sudan aliyekamatwa tangu mwezi Disemba mwaka uliopita kwa kushiriki maandamano ya kumpinga Rais Omar al-Bashir, ameachiliwa huru.
View ArticleEneo muhimu la visima vya mafuta kufunguliwa tena Libya
maeneo muhimu ya visima vya mafuta nchini Libya yanatarajiwa kufunguliwa baada ya kutekwa na kundi lenye silaha.
View ArticleMwalimu wa Ujerumani anayetembelea nchi za wanafunzi wake
Jan Kammann ambaye ni mwalimu wa shule nchini Ujerumani, hutembelea nchi ambako wanafunzi wake wanatokea, kwa lengo la kujua wanakotoka na hali yao ya maisha ikiwemo changamoto wanazopitia.
View ArticleChelsea yakata rufaa kupinga adhabu ya kutowasaini wachezaji
FIFA imethibitisha kuwa imepokea rufaa ya Chelsea kupinga adhabu ya kufungiwa kuwasajili wachezaji kwa mwaka mmoja, ijapokuwa haijaamua kama itaisitisha adhabu hiyo kwanza wakati wa mchakato wa...
View ArticleLöw: Sasa siwahitaji tena Hummels, Boateng na Mueller
Kocha wa timu ya taifa ya Ujerumani Joachim Löw ameangusha bomu! Ametangaza kuwa washindi wa Kombe la Dunia 2014 Thomas Müller, Jerome Boateng na Mats Hummels hawako kwenye mipango yake ya usoni.
View Article