Quantcast
Channel: DW Kiswahili
Viewing all articles
Browse latest Browse all 28583

Bouteflika ambadilisha meneja wake wa kampeni ya urais

$
0
0
Rais wa Algeria Abdelaziz Bouteflika amembadilisha meneja wake wa kampeni kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Aprili ambapo anatarajiwa  kuwania muhula wa tano madarakani,shirika la habari la APS limesema Jumamosi(02.03.2019).

Viewing all articles
Browse latest Browse all 28583

Trending Articles