Amnesty yaonya kuhusu kuongezeka kwa tofauti za kidunia
Ripoti ya shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International imeonya kuhusu kuwepo kwa tofauti za kidunia kuelekea masuala ya haki za binaadamu zinachochea kuongezeka kwa...
View ArticleMay aliahidi bunge kuchelewesha mchakato wa Brexit
Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May ameahidi kuliruhusu Bunge kuchelewesha mchakato wa kujitoa katika Umoja wa Ulaya maarufu Brexit kwa hadi miezi mitatu, ili nchi hiyo isije ikaondoka bila ya mkataba...
View ArticleSilaha za Ujerumani zatumika vita vya Yemen - Ripoti ya DW
Uchunguzi wa DW umebaini kuwa silaha zilizotengenezwa Ujerumani zinatumika katika vita vya Yemen ambavyo vimeshaangamiza maelfu ya watu na kuwageuza wengine kadhaa wakimbizi na kutumbukia kwenye...
View ArticleMgogoro watokota kati ya India na Pakistan
Katika kadhia nyingine jeshi la anga la Pakistan limezitungua ndege mbili za kijeshi za India baada ya ndege hizo kuruka na kuvuka mpaka unaoyatenganisha mataifa hayo mawili katika jimbo la mzozo la...
View ArticleMkenya ahukumiwa kwa kumuiga rais kuwatapeli watu
Watu 7 waliojifanya rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta na kuwatapeli wafanyabiashara kiasi cha shilingi milioni 10 wameshitakiwa nchini Kenya.
View ArticleSpika Uganda aunga mkono shindano la wanawake wanene
Shindano la uembo la wanawake wanene au wenye maumbo makubwa nchini Uganda limepata uungwaji mkono kutoka kwa spika wa bunge la nchi hiyo. Baadhi ya viongozi katika jamii wamekosoa lengo la shindano hilo.
View ArticleMerkel na Macron wagusia kuchelewa kwa Brexit
Kansela Angela Merkel amekutana na rais Emmanuel Macron mjini Paris katika mazungumzo yaliyotuama zaidi kwenye suala la Uingereza kujiondoa Umoja wa Ulaya, uhusiano na Marekani pamoja na masuala...
View ArticlePakistan yataka kufanyike mazungumzo kati yake na India
Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan amemtolea wito Waziri Mkuu wa India Narendra Modi wa kufanya mazungumzo kwa ajili ya kuutatua mvutano unaoongezeka kati ya nchi hizo mbili jirani zinazomiliki silaha...
View ArticleMaoni: Aliyeshinda na aliyeshindwa Nigeria wote wabaya
Licha ya Muhammadu Buhari kumshinda Atiku Abubakari kwenye uchaguzi, Thomas Mösch wa Idhaa ya Kihausa ya DW anasema aliyeshinda na aliyeshindwa wote ni wabaya na sasa wanachoweza kufanya ni kuitendea...
View ArticleKim, Trump waanza siku ya pili ya mazungumzo
Rais wa Marekani Donald Trump na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un wameanza siku ya pili ya mazungumzo, baada ya kukutana jana katika hafla ya chakula cha jioni
View ArticleHakuna makubaliano yaliyofikiwa kati ya Trump na Kim
Rais Donald Trump wa Marekani amesema alitoka mkutanoni na kumuacha Kim Jong Un wa Korea Kaskazini, kwasababu kiongozi huyo alitaka vikwazo vyote ilivyowekewa nchi yake viondolewe.
View ArticleAfrika yaanzisha kampeni ya kukomesha silaha kufikia 2020
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepongeza kampeni ya Afrika ya kukomesha silaha barani humo ifikapo mwaka 2020 na kutaka jumuiya ya kimataifa kuunga mkono kampeni hiyo ili kuweza kupata amani...
View ArticleUshahidi wa Michael Cohen fedheha kwa Donald Turmp
Siku moja baada ya kumshutumu Rais Donald Trump kuwa ni mwongo na mbaguzi, mwanasheria wake wa zamani Michael Cohen leo ataendelea kutoa ushahidi wake mbele ya kamati ya upelelezi lakini nyuma ya pazia.
View ArticleRais Bashir akabidhi uongozi wa chama kwa makamu wake
Rais wa Sudan, Omar al-Bashir amekabidhi uongozi wa chama tawala nchini humo kwa makamu wake aliyeteuliwa hivi karibuni, mnamo jumla ya waandamanaji wanane wanaoipinga serikali wakihukumiwa kifungo...
View ArticleWapiganaji wa Al shabaab wakabiliana na wanajeshi Somalia
Makabiliano ya risasi kati ya wanajeshi wa Somalia na wanamgambo wa Al shabaab yaliendelea siku ya Ijumaa (01.03.2019) katika eneo la hoteli ya Al Mukarama.
View ArticleVenezuela yaigeukia Urusi kuomba msaada
Rais wa Venezuela Nicolas Maduro ameamuru ofisi za kampuni ya taifa ya mafuta zilizoko mjini Lisbon kuhamishiwa mjini Moscow, mnamo Urusi ikiapa kuendelea kumsaidia rais huyo ikiwa ni pamoja na kutuma...
View ArticleHeiko Maas amaliza ziara yake Afrika
Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani, Heiko Maas, amemaliza ziara yake ya Afrika Magharibi, ambayo kituo chake cha mwisho kilikua nchini Mali.
View ArticleNini kilivuruga mazungumzo ya Trump na Kim huko Hanoi?
Rais Donald Trump aliondoka katika mkutano wake na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un kwasababu Kim alitaka Marekani iondoe vikwazo vyote, madai ambayo Korea Kaskazini inayakana.
View ArticleEdward Lowassa arejea CCM
Mwanasiasa wa Upinzani nchini Tanzania Edward Lowasa ametangaza kujiunga tena na chama tawala nchini humo CCM kiasi miaka minne tangu alipohamia upinzani na kuwania kiti cha urais mwaka 2015.
View ArticleMarekani yaweka vikwazo vipya dhidi ya Venezuela
Marekani na Urusi zilipambana jana Ijumaa kuhusiana na jinsi ya kuisaidia Venezuela iliyokumbwa na mzozo, ambapo Urusi iliahidi njia mpya za kutoa misaada kupitia rais Nicolas Maduro na Marekani...
View Article