Quantcast
Channel: DW Kiswahili
Viewing all articles
Browse latest Browse all 28564

Chelsea yakata rufaa kupinga adhabu ya kutowasaini wachezaji

$
0
0
FIFA imethibitisha kuwa imepokea rufaa ya Chelsea kupinga adhabu ya kufungiwa kuwasajili wachezaji kwa mwaka mmoja, ijapokuwa haijaamua kama itaisitisha adhabu hiyo kwanza wakati wa mchakato wa kisheria ukiendelea

Viewing all articles
Browse latest Browse all 28564