Saudi Arabia kukosolewa kuhusu haki za binadamu katika baraza la UN
Wanadiplomasia wanasema nchi za Ulaya wiki hii zitatoa wito kwa Saudi Arabia kuwaachia wanaharakati walio kizuizini na pia wataitaka nchi hiyo itoe ushirikiano katika uchunguzi wa mauaji ya mwandishi...
View ArticleLipumba asema Lowasa aliingia upinzani kwa lengo la kusaka urais
Mwenyekiti wa chama cha CUF anaetambuliwa na msajili wa vyama vya siasa Tanzania, profesa Ibrahim lipumba asema Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowasa aliingia upinzani ili kusaka urais na si kutekeleza...
View ArticleBrexit: Suala la mpaka wa Ireland bado halijapata ufumbuzi
Mazungumzo baina ya mwanasheria mkuu wa Uingereza na Umoja wa Ulaya juu ya kuleta mabadiliko zaidi kuhusu suala la mpaka wa Ireland yamemalizika bila ya makubaliano.
View ArticleMaoni: Guaido anategemea mataifa ya nje
 Kiongozi wa upinzani Juan Guaido, alirejea Venezuela akikaidi vikwazo vyote dhidi yake kutoka kwa hasimu wake, Rais Nicolas Maduro, lakini anasema Uta Thofern inavyoonekana Guaido anategemea zaidi...
View ArticleWaasi wa ADF wawaachia huru mateka 22
Waasi wa kundi la ADF la nchini Uganda, wanaoendesha harakati zao katika misitu ya wilaya ya Beni katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, wamewaachia huru mateka 22.
View ArticleMgomo wa wafanyakazi wavuruga safari za ndege Nairobi
Shughuli za usafiri zimevurugika katika uwanja wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta nchini Kenya kufuatia mgomo wa wafanyakazi wanaopinga usimamizi wa uwanja huo kutwaliwa na Shirika la Usafiri wa ndege ya...
View ArticleBachelet: Vikwazo vimeuzidisha makali mzozo wa Venezuela
Mkuu wa Shirika la kutetea haki la Umoja wa mataifa Michelle Bachelet alisema siku ya Jumatano kwamba vikwazo vilivyowekwa dhidi ya Venezuela vimechochea kuukuza mgogoro unaoikabili nchi hiyo.
View ArticleWaasi wa Houthi watuhumiwa kukiuka makubaliano
Serikali ya Yemen na washirika wake Saudi na Emirates zimewatuhumu waasi wa kihouthi kutozingatia makubaliano yao ya kuondoa vikosi kutoka eneo la bahari ya Shamu.
View ArticleVenezuela yamfukuza balozi wa Ujerumani
Venezuela imemfukuza nchini mwake balozi wa Ujerumani Daniel Kriener, hatua iliyokoselewa vikali na mataifa yanayomuunga mkono kiongozi wa upinzani Juan Guaido, huku Marekani ikitangaza vikwazo zaidi...
View ArticleKorea Kaskazini yatuhumiwa kuanza upya harakati za Nyuklia
Jeshi la Korea Kusini lasema linafuatilia kwa karibu vituo vya shughuli za Nyuklia vya Korea Kaskazini baada ya idara yake ya ujasusi kuwaambia wabunge kuna harakati mpya zilizogunduliwa kuendelea huko...
View ArticleKampuni ya Huawei yaishtaki Marekani
Kampuni kubwa ya kutengeza simu ya China, Huawei imeishtaki serikali ya Marekani ikipinga sheria iliyopitisha mwaka jana inayokataza taasisi za serikali za Marekani kununua bidhaa za Huawei
View ArticleUlimwengu waadhimisha siku ya kimataifa ya wanawake
Kauli mbiu ya mwaka huu ni kuwa na fikra sawa, ujenzi bora kwa ajili ya ubunifu wa kimaendeleo wakati dunia ikiwa imetawaliwa na ubunifu,kujenga na kuleta mabadiliko ya jinsi watu wanavyoishi katika...
View ArticleMshirika wa Trump ahukumiwa kifungo cha miezi 47 jela
Paul Manafort, amehukumiwa kifungo cha takriban miaka 4 jela baada ya kupatikana na hatia ya kukwepa kulipa kodi na udanganyifu wa kibenki unaohusiana na kazi yake ya kuwashauri wanasiasa wa Ukraine.
View ArticleUjerumani yasema Hezbollah sio kundi la kigaidi
Naibu Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Niels Annen ameliambia jarida la habari la Der Spiegel kuwa vuguvugu hilo la Waislamu wa madhehebu ya Shia linaloungwa mkono na Iran, ni muhimu katika jamii...
View ArticleWanafunzi wa vyuo vikuu Algeria wapewa likizo ya mapema
Wizara ya elimu ya juu nchini Algeria imeamuru likizo ya mapema kwa wanafunzi wa vyuo vikuu katika hatua ya kujaribu kuyadhoofisha maandamano ya kumpinga Rais Abdelaziz Bouteflika kugombea muhula wa tano.
View ArticleNdege ya Ethiopia yapata ajali ikielekea Nairobi
Ndege hiyo iliyokuwa ikitokea mjini Adis Ababa ilikuwa imebeba abiria 149 na wafanyakazi wanane imepata ajali asubuhi leo Jumapili
View ArticleWatu wote 157 wafariki katika ajali ya ndege ya Ethiopia
Ndege ya Ethiopia nambari ET-302 ilikuwa imebeba raia wa mataifa 33 kuelekea Nairobi nchini Kenya kabla ya kuanguka karibu na mji wa Bishoftu nchini Ethiopia
View ArticleBouteflika ajiandaa kurudi Algeria Jumapili
Ndege ya rais huyo itaondoka ndani ya muda mfupi kutoka Geneva kuelekea Algiers nchini Algeria
View ArticleUuzaji wa silaha duniani waongezeka kwa 8%
Taasisi ya kimataifa ya utafiti wa masuala ya amani duniani SIPRI imesema uuzaji wa silaha za kivita duniani umeongezeka kwa kiasi cha asilimia nane kwa kipindi cha mwaka 2014 hadi 2018 ikilinganishwa...
View ArticleZiara ya Rais wa Iran nchini Iraq ni ya kuimarisha uhusiano
Rais wa Iran Hassan Rouhani anaitembelea Iraq kwa ajili ya kuimarisha uhusiano wa kibiashara. Ziara yake inatoa ishara kwamba Iran ina chaguo lingine kwenye kanda ya Mashariki ya Kati.
View Article