Obama awaonya wagombea Afghanistan
Rais wa Marekani amechukua hatua isio ya kawaida, kuingilia uchaguzi wa kigeni, kwa kuwaomba wagombea wawili wa uchaguzi wa rais ulio na utata Afghanistan, kuruhusu mchakato wa kuchunguza madai ya...
View ArticleWahariri waitaka Ujerumani iingilie Mashariki ya Kati
Wahariri leo wanazungumzia juu ya mgogoro wa Mashariki ya Kati, na bila shaka juu ya ushindi wa timu ya Ujerumani katika nusu fainali ya kombe la Dunia.
View ArticleUjerumani yaizima ndoto ya Brazil
Ndoto inaweza kugeuka jinamizi na la Brazil lina madhara makubwa zaidi, baada ya kupigwa kumbo kwa aibu na Ujerumani katika nusu fainali ya kombe la dunia nyumbani kwao mjini Belo Horizonte.
View ArticleNetanyahu aamuru mashambulizi zaidi
Waziri mkuu wa Israel Benjamini Netanyahu ameapa kuendeleza kampeni ya kijeshi dhidi ya wapiganaji wa Hamas katika ukanda wa Gaza, ambayo tayari imeshagharimu maisha wa Wapalestina 43 na kuwajeruhi...
View ArticleKila mgombea adai kushinda uchaguzi
Wagombea wote wawili katika uchaguzi wa rais Indonesia amedai ushindi , hali inayozua wasiwasi kisiasa na kisheria, katika taifa hilo lililojitoa kutoka utawala wa kidikteta na kuingia utawala wa...
View ArticleArgentina yaingia fainali kupitia penalti
Argentina itakutana na Ujerumani katika fainali ya Kombe la Dunia baada ya kuibwaga Uholanzi kupitia mikwaju ya penalty. Lionel Messi na wenzake waliwafunga Waholanzi 4-2 baada ya mchezo kuisha 0-0
View ArticleAfrika yatakiwa kuunda jeshi lake
Serikali ya Tanzania imezitaka nchi za Afrika kuamka kwa kuanzisha jeshi maalumu litalohusika na utanzuaji wa mizozo inayoendelea kulikumba bara hilo na si kutegemea misaada ya kijeshi kutoka katika...
View ArticleUjasusi wa Marekani wapandisha hasira
Hofu zimeanza kutanda kwenye ulimwengu wa kidiplomasia kwamba mahusiano ya kijadi kati ya Marekani na Ujerumani yanazidi kuathirika, kutokana na kashfa nyengine ya ujasusi wa Marekani dhidi ya Ujerumani.
View ArticleIsrael yazidisha mashambulizi Gaza
Watoto watano wa kipalestina ni miongoni mwa watu 21 waliouwawa katika mashambulizi ya leo ya angani yanayofanywa na Israel katika ukanda wa Gaza, hii ni kulingana na wataalamu wa afya katika ukanda huo.
View ArticleKila mgombea adai kushinda uchaguzi Indonesia
Wagombea wote wawili katika uchaguzi wa rais Indonesia amedai ushindi , hali inayozua wasiwasi kisiasa na kisheria, katika taifa hilo lililojitoa kutoka utawala wa kidikteta na kuingia utawala wa...
View ArticleOngezeko na gharama ya mifuko ya plastiki kwa mazingira
Australia hutumia zaidi ya dola milioni 2 kwa mwaka kuokota takataka za mifuko ya plastiki, licha ya kuwa yenyewe ni moja ya nchi zilizoendelea, hii ikimaanisha kuwa hali ni mbaya zaidi kwenye mataifa...
View ArticleKutana na uvumbuzi mpya Kongo
Kwa kurahisisha usafiri katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kinshasa, mwanasayansi Therese Kirongozi amevumbua roboti za kuongozea magari barabarani kupitia kampuni yake ya Women...
View ArticleBunge Tanzania laweza kuzuia ufisadi?
Kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow inazidi kuchukuwa nafasi nchini Tanzania baada ya bunge la nchi hiyo kumtaka mkaguzi mkuu wa serikali na taasisi ya kupambana na rushwa kuchunguza uchotwaji wa...
View ArticleMaoni ya wahariri juu ya Mashariki ya Kati
Wahariri wanazungumzia juu ya hali ya Mashariki ya Kati ,mkasa mwingine wa ujasusi unaofanywa na Marekani,nchini Ujerumani na pia wanatoa maoni juu ya kombe la Dunia.
View ArticleTanzania: Frederick Sumaye kugombea urais 2015
Nchini Tanzania, siku chache baada ya mwanasiasa kijana na naibu waziri January Makamba kutangaza nia ya kugombea urais mwaka 2015, sasa waziri mkuu wa zamani Frederick Sumaye amejitokeza akisema...
View ArticleUjerumani yataka ujasusi wa Marekani ukome
Ujerumani imeitolea wito Marekani kuchukua jitihada binafsi za kurekebisha upya hali ya mahusiano kati ya pande hizo mbili baada ya kile serikali ya Ujerumani inachokiita "kuvunjwa kwa uaminifu".
View ArticleKerry: Afghanistan ipo pabaya
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani John Kerry ambaye amewasili nchini Afghanistan leo, ameonya kuwa mzozo kuhusu matokeo ya duru ya pili ya uchaguzi wa rais nchini Afghanistan unatishia...
View ArticleIsrael yaendelea kuihujumu Gaza
Madege ya kivita ya Israel yanaendelea kuuhujumu Ukanda wa Gaza kwa siku ya nne mfululizo bila ya kufanikiwa kuzuwia makombora yanayfyetuliwa na makundi ya wanamgambo wa kipalastina..
View ArticleUmoja wa Ulaya waiwekea vikwazo Sudan Kusini
Umoja wa Ulaya umetangaza majina ya wakuu wa kijeshi wa Sudan Kusini iliowaekea vikwazo vya kusafiri pamoja na kuzuia mali zao kutokana na kufanya ukatili dhidi ya raia wasio na hatia.
View ArticleAfrika katika magazeti ya Ujerumani
Magazeti ya Ujerumani wiki hii yamezungumzia juu ya wahamiaji haramu wa Kiafrika na changamoto wanazotoa kwa Italia, miaka mitatu ya uhuru wa Sudan Kusini na matumaini ya amani Jamhuri ya Afrika ya Kati.
View Article