Keryy awataka Ghani, Abdullah kupatana
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, John Kerry, amekutana na mahasimu wakubwa kwenye uchaguzi wa rais wa Afghanistan kuwataka wautatue mzozo uliompa ushindi mgombea anayeungwa mkono na rais anayemaliza...
View ArticleSuarez ahamia Barcelona kutoka Liverpool
Barcelona imemsajili mshambuliaji wa Uruguay Luis Suarez kutoka klabu ya Liverpool, licha ya tukio lililozusha gumzo kote duniani la kumng'ata mpinzani wake katika Kombe la Dunia nchini Brazil
View ArticleIsrael kuendeleza mashambulizi Gaza
Israel imeendeleza mashambulizi ya anga na mizinga dhidi ya Gaza kwa siku ya tano mfululizo Jumamosi (12.07.2014) na kuuwa Wapalestina 22 wakati Hamas nayo ikiendelea kuvurumisha maroketi yake nchini...
View ArticleUholanzi yamaliza katika nafasi ya tatu
Baada ya mchezo kukamilika, ni Uholanzi iliyoshangiliwa na umati wa Brazil. Brazil iliondoka uwanjani kwa kuzomewa, baada ya kichapo kingine kilichohitimisha ndoto ya kutwaa Kombe la Dunia katika ardhi...
View ArticleUN yataka mapigano yasitishwe Gaza
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa wito wa kukomeshwa mapigano baina ya Israel na wapalestina katika Ukanda wa Gaza, na kufufuliwa mazungumzo ya amani kutafuta suluhisho litakaloleta amani...
View ArticleMaafa yaongezeka Gaza
Israel imeendeleza mashambulizi ya anga na mizinga dhidi ya Gaza kwa siku ya tano mfululizo Jumamosi (12.07.2014) na kuuwa Wapalestina 22 wakati Hamas nayo ikiendelea kuvurumisha maroketi yake nchini...
View ArticleUjerumani yanyakua Kombe la nne la Dunia
Ujerumani imenyakuwa Kombe la Dunia kwa mara ya nne na kuwa timu ya kwanza ya Ulaya kulitwaa kombe hilo katika ardhi ya Amerika Kusini baada ya kuishinda Argentina goli moja kwa sifuri katika fainali
View ArticleWamethubutu, wameweza
Baada ya kujaribu bila mafanikio kulitwa kombe la kandanda la dunia tangu walipofanya hivyo mara ya mwisho mwaka 1990, hatimaye ndoto ya vijana wa Jogi (timu ya taifa ya Ujerumani) ilitimia usiku wa...
View ArticleManuel Neuer ndiye mlinda lango bora
Nani mwingine ambaye FIFA ingemchagua kuwa mlinda lango bora zaidi katika Kombe la Dunia? Hata katika dimba lililojaa wagombea wengi, Manuel Neuer wa Ujerumani aliibuka kileleni
View ArticleMasaibu ya Messi katika Kombe la Dunia
Kitu cha mwisho alichofanya Lionel Messi katika Kombe la Dunia 2014 ni kuipiga freekick iliyopaa juu kabisa ya lango, na kupoteza nafasi ya mwisho ya Argentina kusawazisha goli katika fainali dhidi ya...
View ArticleMazungumzo muhimu kuhusu nyuklia ya Iran yaanza
Mazungumzo kuhusu mpango wa kinyuklia wa Iran leo yanaingia katika duru muhimu ya kujaribu kusitisha mpango huo huku wajumbe wa nchi zenye nguvu zaidi duniani pamoja na Ujerumani wakishindwa kuafikiana...
View ArticleNeuer ndiye mlinda lango bora
Nani mwingine ambaye FIFA ingemchagua kuwa mlinda lango bora zaidi katika Kombe la Dunia? Hata katika dimba lililojaa wagombea wengi, Manuel Neuer wa Ujerumani aliibuka kileleni.
View ArticleUrusi yasema huenda ikaishambulia Ukraine
Urusi inafikiria hatua ya kujibu mashambulizi dhidi ya Ukraine baada ya raia wake kuuwawa kufuatia kombora lililovurumishwa nchini Urusi.
View ArticleMashambulizi ya Israel kuidhoofisha Hamas
Israel inataraji kusababisha uharibifu mkubwa kwa miundo mbinu ya kundi la Hamas kabla ya kukubali kuwa na mzungumzo ya kusitisha mapigano wakati mashambulizi ya Israel yakiingia siku ya saba Jumatatu...
View ArticleMalala akutana na Rais Goodluck Jonathan
Mwanaharakati anayepigania haki ya elimu kwa wasichana Malala Yousafzai anasheherekea siku yake ya kuzaliwa Nigeria kwa kukutana na Rais Goodluck Jonathan na wazazi wa wasichana zaidi ya 200...
View ArticleLibya inatafakari kuitisha usaidizi wa kimataifa
Serikali ya Libya imesema inatafakari kuomba msaada wa vikosi vya kigeni kuweza kukabiliana na hali ya usalama nchini humo baada ya makabiliano makali kusababisha kufungwa kwa uwanja wa ndege wa Tripoli
View ArticleUmoja wa Mataifa waidhinisha upelekaji misaada Syria
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeidhinisha ruhusa kuingia kwa misaada ya kiutu katika maeneo ya waasi bila ya ridhaa ya serikali ya Syria katika maeneo manne ya vivuko mpakani na Uturuki, Iraq...
View ArticleIsrael yaukubali mpango wa Misri Gaza
Israel imeyakubali mapendekezo ya Misri kuhusu kukomesha vurugu mbaya zaidi kuukumba katika ukanda wa Gaza katika miaka kadhaa, licha ya uamuzi wa Hamas kuyakata mapendekezo hayo yanayoungwa mkono na...
View ArticleKerry kuzungumza na Obama juu ya Iran
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani John Kerry amesema atajadili na Rais Barrack Obama uwezekano wa kurefusha muda uliowekwa wa kufikia makubaliano juu ya nyuklia za Iran, unaomalizika mwezi huu.
View ArticleMaoni ya wahariri juu ya Ujerumani kushinda Kombe la Dunia
Wahariri leo wanatoa maoni yao juu ya ushindi wa Ujerumani katika mashindano ya kuligombea Kombe la Dunia na juu ya mdahalo wa mabadiliko ya tabia nchi
View Article