Kitu cha mwisho alichofanya Lionel Messi katika Kombe la Dunia 2014 ni kuipiga freekick iliyopaa juu kabisa ya lango, na kupoteza nafasi ya mwisho ya Argentina kusawazisha goli katika fainali dhidi ya Ujerumani
↧