Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani John Kerry ambaye amewasili nchini Afghanistan leo, ameonya kuwa mzozo kuhusu matokeo ya duru ya pili ya uchaguzi wa rais nchini Afghanistan unatishia mustakabali wa nchi hiyo.
↧