Rais wa Marekani amechukua hatua isio ya kawaida, kuingilia uchaguzi wa kigeni, kwa kuwaomba wagombea wawili wa uchaguzi wa rais ulio na utata Afghanistan, kuruhusu mchakato wa kuchunguza madai ya udanganyifu kuendelea
↧