Serikali ya Tanzania imezitaka nchi za Afrika kuamka kwa kuanzisha jeshi maalumu litalohusika na utanzuaji wa mizozo inayoendelea kulikumba bara hilo na si kutegemea misaada ya kijeshi kutoka katika madola ya magharibi.
↧