Shambulio la Nairobi na jibu la walimwengu
Kwa mujibu wa viongozi wa serikali ya Kenya,wanamgambo wanaohusika na shambulio dhidi ya jengo la biashara mjini Nairobi ni wa nchi tofauti,ikiwa ni pamoja na Marekani.Korti kuu ya kimataifa imeahidi...
View ArticleJeshi la Kenya bado linapambana na magaidi Westgate
Shughuli za uokozi zinaingia siku ya nne tangu jengo la maduka la Westgate jijini Nairobi kushambuliwa na magaidi Jumamosi na kusababisha zaidi ya watu 60 kuuwawa na wengine wengi kupata Majeraha.
View ArticleIdadi ya waliouwawa Nairobi huenda ikaongezeka
Wingu la simanzi bado limetanda Kenya kufuatia shambulio la kigaidi lililofanywa katika jengo la maduka ya kifahari la Westgate jijini Nairobi. Zaidi ya watu 60, wameuwawa na idadi hiyo huenda...
View ArticleVigogo wa kisiasa wawajibika Ujerumani
Siasa zimechemsha Ujerumani ambapo viongozi wa vyama mashuhuri vya kisiasa wa chama cha Free Demoktatik FDP wamejiuzulu na uongozi mzima wa chama cha Kijani kujizulu baada ya kushindwa vibaya katika...
View ArticleIran iko tayari kwa mazungumzo kuhusu mpango wake wa kinyuklia
Rais wa Iran Hassan Rouhani amesema katika baraza kuu la umoja wa Mataifa kwamba yuko tayari kushiriki katika mazungumzo kuhusu mpango wa nchi yake wa kinyuklia na kuwa mpango huo sio tisho kwa jumuiya...
View ArticleIran yataka kumaliza mgogoro wa nyuklia
Rais wa Iran Hassan Rouhani amesema katika baraza kuu la umoja wa Mataifa kwamba yuko tayari kushiriki katika mazungumzo kuhusu mpango wa nchi yake wa kinyuklia na kuwa mpango huo sio tisho kwa jumuiya...
View ArticleAl-Shabaab yadai mateka 137 wamefariki
Kundi la Al-Shabaab limedai siku ya Jumatano kuwa mateka 137 waliowachukua wamekufa katika uvamizi wa kituo cha biashara, idadi ambayo ni vigumu kuithibitisha na kubwa kuliko idadi iliyotangazwa kuwa...
View ArticleKerry ataka mazungumzo ya Kampala yaharakishwe
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani John Kerry amekutana na rais Joseph Kabila, na kuelezea umuhimu wa kurejesha amani katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo haraka.
View ArticleVyombo vya habari vyazuiwa kuzungumzia siasa Kameroon
Wakameroon wanatarajiwa kuwachagua wabunge wao 180 pamoja na viongozi wa serikali za mitaa katika uchaguzi utakaohusisha majimbo 360 Jumatatu ijayo Septemba 30.
View ArticleTuzo ya Haki ya Maisha yaenda kwa Daktari wa DRC
Daktari Denis Mukwege wa DRC amekuwa mmoja wa washindi wanne wa tuzo ya Haki ya Maisha kutokana na mchango wao katika kuendeleza haki za binaadamu, kuboresha upatikanaji wa chakula na kukabiliana na...
View ArticleUdugu wa Kiislamu wabanwa zaidi
Serikali ya Misri imeyafunga makao makuu ya gazeti "Uhuru na Haki" ambalo linalomilikiwa na chama cha Udugu wa Kiislamu ikiwa ni hatua ya mwanzo yenye lengo la kuvurga kabisa harakati za chama hicho.
View ArticleNchi za magharibi kuzungumza na Iran
Mawaziri wa mambo ya kigeni wa nchi tano wanachama wa baraza la usalama la umoja Mataifa na Ujerumani watakutana na mwenzao wa Iran leo kuzungumzia jinsi ya kutatua mzozo wa mpango wa kinyuklia wa Iran
View ArticleMahakama ya UN yaikataa rufaa ya Taylor
Mahakama maalum ya Umoja wa Mataifa imetupilia mbali rufaa iliyowasilishwa na kiongozi wa zamani wa Liberia, Charles Taylor.
View ArticleWataalamu wa Silaha waanza kazi tena Syria
Wataalamu wa silaha wa Umoja wa Mataifa wamerudi katika maeneo ambako inadaiwa yalifanywa mashambulizi ya silaha za kemikali nchini Syria, huku wanadiplomasia wakikaribia muafaka juu ya azimio kwa...
View ArticleMarekani yasaini mkataba wa silaha
Marekani imeutia saini mkataba wa Umoja wa Mataifa wa kudhibiti biashara ya kimataifa ya silaha, huku utawala wa rais Barack Obama ukituliza hofu kuwa mkataba huo utakiuka haki za kikatiba za Wamrekani.
View ArticleWestgate yafungua mlango kwa Kenyatta
Wakati shambulio dhidi ya kituo cha Westagate mjini Nairobi linaathiri sekta ya utalii na uwekezaji nchini Kenya, wachambuzi wanasema pia linatoa fursa kwa rais wa nchi hiyo kujinasua katika mtego wa...
View ArticleWaasi wa Mali wajiondoa katika mchakato wa amani
Waasi wa kundi la Tuareg na muungano wa waasi wa kiarabu wametangaza kujiondoa katika mazungumzo na serikali ya Mali.Hii ni pigo kubwa kwa rais wa nchi hiyo Ibrahim Boubacar Keita anayejaribu...
View ArticleSPD na mtihani mkubwa baada ya uchaguzi mkuu
Kizungumkuti cha SPD kama washiriki katika serikali ya muungano au wakalie viti vya upande wa upinzani !Njia zote hizo mbili zina hatari na mashaka yake.
View ArticleIran yaridhia kushiriki mazungumzo juu ya silaha za nyuklia
Maafisa wa ngazi ya juu wa Iran na wale wa shirika la UN la kudhibiti matumizi ya nishati ya Atomiki-IAEA, wameanza majadiliano mjini Vienna juu ya uchunguzi wa mpango wa silaha za nyuklia za Iran.
View ArticleBinadamu huchangia mabadiliko ya tabia nchi
Wanasayansi wa Umoja wa Mataifa, wamesema ni wazi kwamba binaadamu ni chanzo cha ongezeko la joto duniani na wametabiri kuwa viwango vya joto na viwango vya maji ya bahari vitapanda hadi ifikapo...
View Article