Messi na babake wafika kizimbani
Nyota wa Barcelona Lionel Messi na babake wamefika katika mahakama moja ya Uhispania kujibu mashitaka yanayohusiana na kesi ya kukwepa kulipa kodi ya mamilioni ya euro
View ArticleWatu 100 wahofiwa kufa kutokana na mvua kubwa Somalia
Watu wasiopungua 100 wanahofiwa wamekufa kwenye mvua kubwa inayoshesha katika eneo la Puntland kaskazini mwa Somalia. Hayo yamesemwa na serikali ya jimbo la Puntland
View ArticleKongo yailaumu Uganda kwa kuvunjika mazungumzo
Ujumbe wa serikali ya Kongo umejiondoa katika mazungumzo na waasi wa M23 yanayosimamiwa na Uganda, baada ya pande hizo mbili kutofautiana kuhusu vipengele vya muafaka wa amani uliolenga kumaliza uasi...
View ArticleKinagaubaga: CHADEMA yasema haina mgogoro
Kufuatia kusambaa kwa taarifa kwenye vyombo habari kwamba kuna mgogoro unaofukuta kwenye uongozi wa juu wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, CHADEMA, Kinagaubaga inauliza kuna nini huko ndani?
View ArticleHatma ya kesi ya Kenyatta na Ruto kujulikana leo
Umoja wa Afrika unalitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, leo kupiga kura kuahirisha kwa mwaka mmoja kesi ya uhalifu wa kibinaadamu dhidi ya viongozi wa Kenya katika Mahakama ya Kimataifa ya...
View ArticleMisaada yaanza kuwasili Ufilipino
Idadi ya watu waliofariki Ufilipino kutokana na kimbunga Haiyan imeongezeka mara dufu, na kufikia 4,000, wakati helikopta za jeshi la Marekani na meli zimeanza kupeleka misaada na madaktari katika eneo...
View ArticleSigmar Gabriel achaguliwa upya kuiongoza SPD
Mkutano mkuu wa dharura wa chama cha Social Democratic, SPD, unaendelea mjini Leipizig. Sigmar Gabriel amechaguliwa upya kukiongoza chama hicho lakini hakupata kura nyingi ikilinganishwa na miaka 4...
View ArticleVisiwa vya Maldives kufanya uchaguzi mkuu
Wananchi wa Visiwa vya Maldives vilivyopo katika Bahari ya Hindi siku ya Jumamosi (Novemba 16.11.2013) wanapiga kura kumchagua rais wa nchi hiyo, huku rais wa sasa akiwa safarini.
View ArticleAfrika katika magazeti ya Ujerumani
Magazeti ya Ujerumani wiki hii yameandika juu ya kushindakana kwa hatua ya kuutia saini mkataba wa kuleta amani katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo
View ArticleMkutano wa Jumuiya ya Madola wafanyika Sri Lanka
Mkutano wa nchi za jumuiya ya madola, umeanza leo mjini Colombo, Sri Lanka. Wakati viongozi wa Canada, India na Mauritius wamegoma kushiriki kwa kile wanachodai nchi hiyo inapaswa kutengwa na shughuli...
View ArticleUN yasema kesi dhidi ya viongozi wa Kenya itaendelea
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetupilia mbali ombi la Umoja wa Afrika kutaka kuahirishwa kwa mwaka mmoja kesi dhidi ya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, na naibu wake William Ruto, katika...
View ArticleUreno yapeta, Ufaransa hoi
Ureno imeanza vizuri kuwania nafasi ya kucheza katika fainali za kombe la dunia mwakani baada ya kuishinda Sweden kwa bao 1-0, Ufaransa yateleza, wakati matumaini ya Ugiriki yaongezeka kuelekea Brazil.
View ArticleMapambano yazuka Tripoli
Kumezuka mapambano Jumamosi(16.11.2012) katika mji mkuu wa Libya wakati wanajeshi na wanamgambo wenye mafungamano na serikali walipojaribu kuirudisha kambi moja iliokaliwa kwa mabavu na wapiganaji...
View ArticleMapigano mapya yazuka Libya watu 40 wauawa
Mapigano mapya yamezuka mjini Tripoli Libya jana Jumamosi(16.11.2013) wakati idadi ya watu waliouawa katika mapigano wakati wa maandamano ya kupinga wanamgambo ikipanda na kufikia watu 43.
View ArticleMerkel kukubali kima cha chini
Kansela Angela Merkel wa Ujerumani amedokeza kuwa tayari kukubali dai la chama cha Social Demokratik cha SPD la kuwa na kima cha chini cha mshahara kisheria ili kuweza kufikia makubaliano yao ya kuunda...
View ArticleHollande akutana na Abbas, aijia juu Iran
Rais Francois Hollande wa Ufaransa yuko Ramallah, Mamlaka ya Ndani ya Palestina, akitokea Israel alikosisitiza kuwa nchi yake haitaacha msimamo mkali dhidi ya Iran hadi Iran ioneshe kwa vitendo kuacha...
View ArticleOmbi la Kuahirishwa kwa kesi ya Kenyatta na Ruto lakataliwa
Viongozi wa Jubilee nchini Kenya, wameyakosoa mataifa ya Magharibi kwa kuisaliti Kenya na kwamba yamechangia kushindwa kwa hatua ya Umoja wa Afrika ya kulitaka Baraza la Usalama, kuahirisha kesi ya...
View ArticleMkutano wa tabia nchi magazetini
Mkutano wa tabia nchi,mazungumzo ya kuunda serikali kuu ya muungano na hali ya eneo la mashariki ya Ujerumani miaka 25 baada ya ukuta wa Berlin kuporomoka ni miongoni mwa mada zilizochambuliwa zaidi...
View ArticleUshawishi wa Jumuiya ya madola watiliwa shaka
Tofauti kubwa zilizoibuka katika mkutano wa Jumuiya ya madola uliomalizika mwishoni mwa juma nchini Sri Lanka zimeitia doa jumuiya hiyo ambayo tayari inakabiliwa na shida ya kuonyesha umuhimu wake...
View ArticleUchumi kuimarishwa kati ya Arabuni na Afrika
Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi za Kiarabu na za Kiafrika wamekutana Kuwait Jumapili (17.11.2013) kuharakisha mkakati wa kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi,uwekezaji na biashara kabla ya kuanza kwa...
View Article