Mkutano wa nchi za jumuiya ya madola, umeanza leo mjini Colombo, Sri Lanka. Wakati viongozi wa Canada, India na Mauritius wamegoma kushiriki kwa kile wanachodai nchi hiyo inapaswa kutengwa na shughuli za kijumuiya.
↧