Daktari Denis Mukwege wa DRC amekuwa mmoja wa washindi wanne wa tuzo ya Haki ya Maisha kutokana na mchango wao katika kuendeleza haki za binaadamu, kuboresha upatikanaji wa chakula na kukabiliana na silaha za kemikali.
↧