Tamko la serikali ya Uganda kuhusiana na mkataba wa Roma
Kuna habari kutoka serikali ya Uganda kwamba Umoja wa Afrika utajadili uwezekano wa baadhi ya nchi zake kujiondoa katika mkataba wa Roma ambao unaunda mahakama hiyo katika mkutano wake unatarajiwa...
View ArticleUjerumani yawajibika katika Umoja wa mataifa
Mzozo wa Syria na werevu wa Urusi,miaka 40 tangu Ujerumani ilipojiunga na Umoja wa Mataifa na awamu ya mwisho ya kampeni za uchaguzi nchini Ujerumani ni miongoni mwa mada magazetini.
View ArticleWakimbizi mashariki mwa DRC wapata msaada kutoka Ujerumani
Wakimbizi mashariki mwa Kongo kutoka vijiji vya Kamango na Mamundioma, katika wilaya ya Beni, wamepata msaada kwa mara ya kwanza kabisa, tangu vurugu zitokee katika maeneo ya Kamango, kaskazini...
View ArticleKampeni za Uchaguzi zapambana moto Ujerumani
Wahariri katika magazeti ya leo(19.09.2013)wamejishughulisha zaidi na kampeni za uchaguzi hapa Ujerumani, mzozo wa silaha za sumu nchini Syria, pamoja na Ujerumani kutimiza miaka 40 katika Umoja wa...
View ArticleMwana wa Gaddafi afikishwa mahakamani
Mtoto wa kiume wa dikteta wa Libya aliyeuwawa Moamer Gaddafi Alhamisi (19.09.2013) amefikishwa mahakamani katika mji wa Zintan kwa mashtaka ya kuvuruga usalama na kesi yake imeahirishwa hadi tarehe 12...
View ArticleBado siku nne uchaguzi Ujerumani
Zaidi ya robo ya wapiga kura wa Ujerumani wamepiga kura zao kabla ya uchaguzi utakaofanyika Jumapili ijayo,kwa mujibu wa maafisa,ikiwa leo(19.09.2013)ni mwisho wa kura zinazopigwa na kutumwa kwa njia...
View ArticleVita vya Syria viko kwenye ''mkwamo''
Naibu waziri Mkuu wa Syria amesema vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini mwake vimefika kwenye mkwamo, na kwamba serikali inaweza kutoa pendekezo la mapatano ya kusimamisha mapigano.
View ArticleUchaguzi wa Ujerumani kwa jicho la wataalam wa kigeni
Kampeni za uchaguzi zimepamba moto nchini Ujerumani zikiwa zimesalia siku mbili tu kabla ya siku ya siku kuwadia.
View ArticleWasiwasi kuhusu Kombe la Dunia Qatar 2022
Qatar imesisitiza kuwa inaweza kuandaa dimba la Kombe la Dunia mwaka wa 2022 katika majira ya joto, hata wakati Shirikisho la FIFA likiendelea kuwekewa mbinyo wa kuhamisha tamasha hilo hadi msimu wa...
View ArticleObama hataonana na Rowhani New York
Rais Barack Obama wa Marekani hana mipango ya kukutana na rais wa Iran Hassan Rowhani kujadili mgogoro wa taifa hilo kuhusu mpango wake wa nyuklia, pembezoni mwa mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
View ArticleWatu 20 wauwawa katika uvamizi wa jengo la maduka Nairobi
Watu wenye silaha wavamia jengo la maduka mji mkuu wa Kenya Nairobi (21.09.2013) na kuuwa takriban watu 20 na kujeruhi wengine zaidi ya 50 kwa kile serikali inachosema linaweza kuwa shambulio la kigaidi.
View ArticleAl-Shabaab waua 39, katika shambulizi Nairobi
Wanajeshi wa Kenya wanapambana na wanamgambo wa Somalia ndani ya jumba moja la maduka jijini Nairobi, baada ya watu waliokuwa na bunduki kulivamia jumba hilo na kuwauwa watu 39. Wengine 150 wamejeruhiwa.
View ArticleWajerumani wanapiga kura leo
Wajerumani wanapiga kura leo(22.09.2013) wakati kansela wa sasa Angela Merkel akionekana kuwa atashinda kipindi cha tatu cha uongozi, lakini huenda akalazimika kuunda serikali na mahasimu wake wakuu.
View ArticleMerkel ashinda uchaguzi kwa kishindo
Matokeo ya awali yanaupa muungano wa kihafidhina wa Angela Merkel ushindi katika uchaguzi mkuu uliofanyika leo (22.09.2013) Mustakabali wa washirika wake wadogo uko mashakani, lakini anaweza kuunda...
View ArticleViongozi wa Ulaya wampongeza Merkel
Ushindi wa Kansela Angela Merkel kuiongoza Ujerumani kwa muhula wa tatu, umepongezwa na viongozi wa mataifa ya Ulaya ambao wanauona kuwa ni muhimu kwa mustakabali wa bara hilo.
View ArticleMerkel kuanza majadiliano ya kuunda serikali
Siku moja baada ya ushindi wa kishindo katika uchaguzi mkuu nchini Ujerumani, Kansela Angela Merkel leo Jumatatu anajitayarisha kuanza mchakato wa kusaka washirika atakaoshirikiana nao kuunda serikali.
View ArticleSebastian Vettel akaribia taji la ubingwa wa dunia
Sebastian Vettel anapuuza vitendo vinavyoendelea kushuhudiwa vya kusomewa na mashabiki baada ya ushindi wake wa mfululizo, na badala yake kuviona kama pongezi kutoka kwa mashabiki wenye wivu wa timu ya...
View ArticleMaoni:Merkel aendelee kwa mtazamo tofauti
Kansela Merkel ataendelea kutawala hilo ni wazi. Hata hivyo serikali aliyokuwa akiiongoza itabadilika, kwa maana ya vyama vitakavyokuwa katika mseto wa serikali.
View ArticleMaoni: Kitisho cha kuliyumbisha taifa la Kenya
Zaidi ya watu 60 wameuwawa na wengine wengi kujeruhiwa. Umwagaji damu Nairobi umelifanya kundi la Al Shabaab kuangaziwa tena. Shambulizi la kigaidi linatishia kuiyumbisha Kenya. Lazima kupatikane...
View ArticleHali bado ni tete mjini Nairobi
Makabiliano makali ya risasi na mlipuko umesikika katika jengo la Westgate mjini Nairobi, ambako jeshi la Kenya linakabiliana na baadhi ya wapiganaji wa kundi la Al shabaab wanaowazuia mateka kadhaa...
View Article