Mapinduzi ya umma Arabuni yaleta machungu
Mageuzi ya hivi karibuni katika ulimwengu wa Kiarabu yamebeba changamoto kadhaa pamoja nayo, kikiwemo kiwango kikubwa cha ukosefu wa ajira, wimbi la wahamaji kutoka nchi hizo na kupungua mapato...
View ArticleAU yazionya Sudan kusitisha mapigano
Umoja wa Afrika (AU) umeeleza wasiwasi wake juu ya hali tete ya usalama katika mpaka wa Sudan na Sudan ya Kusini na kuyataka majeshi ya nchi hizo mbili kuondoka katika eneo la mpakani haraka iwezekanavyo.
View ArticleUtawala wa kijeshi hamkani Mali
Viongozi wa kijeshi nchini Mali wamesema wameidhinisha katiba mpya-saa 48 kabla ya ziara ya viongozi kadhaa wa mataifa ya Afrika Magharibi wanaoshikilia katiba iheshimiwe haraka nchini humo.
View ArticleKenia: Mahojiano na Najib Balala baada ya kuondolewa katika baraza la mawaziri
Waziri wa zamani wa Utalii nchini Kenya Najib Balala leo amekuwa na mkutano na waandishi habari mjini Nairobi siku mbili baada ya kuondolewa katika baraza la mawaziri.
View ArticleWanajeshi washangiriwa na kushukuriwa Bamako
Maelfu ya watu wameandamana mjini Bamako leo kuunga mkono utawala wa kijeshi,siku sita baada ya wanajeshi hao kumpinduwa rais Amadou Toumani Touré.
View ArticleBaba Mtakatifu kukamilisha ziara yake Cuba
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Benedict wa 16, leo atakamilisha ziara yake nchini Cuba kwa kuongoza ibada ya hadhara katika mji mkuu Havanna, itakayofanyika kwenye viwanja vikubwa kuliko...
View ArticleJuhudi za kuufumbua mzozo nchini Mali
Viongozi wa kijeshi wa Mali wanazidi kushinikizwa warejee kambini, huku rais aliyepinduliwa Amadou Toumani Toure,akijitokeza kwa mara ya kwanza na kusema yu salama.Na viongozi wa ECOWAS wanakwenda Bamako.
View ArticleMataifa yanayoinukia kiuchumi yakutana Delhi
Kundi la nchi zinazoinukia kiuchumi duniani, BRICS, linakutana nchini India na kuweka azimio la kuzishinikiza nchi za maghiribi kuruhusu usawa kwenye taasisi za kuchumi duniani likiwemo Shirika la...
View ArticleWakimbizi wa Somalia walazimishwa kurejea makwao
Shirika la Kimataifa la Kuteeta haki za binaadamu - Human Rights Watch limesema serikali ya Kenya haipaswi kuwarejesha wakimbizi nchini Somalia kwa sababu bado kuna mapigano yanayoendelea nchini humo.
View ArticleTimu nne kujakitia tiketi za nusu fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya
Michuano ya marudiano ya robo faibali ya ligi ya mabingwa barani Ulaya itachezwa wiki ijayo. Bayern Munihc italenga kuhakikisha kuwa inajikatia tiketi ya kucheza fainali katika uga wa nyumbani Allian...
View ArticlePolisi wa Ufaransa wakamata watu 19 katika msako
Polisi wa Ufaransa leo wamefanya msako wa kuyatafuta makundi ya waislamu wenye itikadi kali na kuwakamata washukiwa 19. Rais Nicolas Sarkozy wa Ufaransa ameapa kwamba msako utaendelea.
View ArticleECOWAS yawapa wanajeshi wa Mali siku tatu
Jumuiya ya Uchumi ya Afrika Magharibi ECOWAS imetoa saa sabini na mbili kwa wanajeshi waliofanya mapinduzi nchini Mali kurejesha utawala wa kidemokrasia vinginevyo itaiwekea vikwazo vikali vya kiuchumi...
View ArticleWapinzani Syria kuendeleza mapambano
Wapinzani nchini Syria wameitisha mandamano baada ya swala ya Ijumaa kupinga maazimio ya Jumuiya ya Umoja wa nchi za Kiarabu kuhusu mgogoro wa Syria baada ya Mkutano wao Mjini Baghdad siku ya Jumatano
View ArticleUfadhili kwa siasa kikwazo kwa uwazi
Licha ya tafauti za mifumo ya kifedha baina ya mataifa tafauti duniani, utafiti wa Taasisi ya Global Integrity unaonesha mataifa duniani yanalingana katika kushindwa kudhibiti kwa ufanisi fedha...
View ArticleFuko jipya la kinga ya Euro laidhinishwa Copenhagen
Mawaziri wa fedha wa kanda ya Euro wakubaliana baada ya majadiliano makali liundwe fuko jipya na kubwa zaidi badala ya lile la zamani,kuimarisha utulivu wa sarafu ya Euro.
View ArticleWakfu za kisiasa katika wakati mgumu
Wakfu za kisiasa za Kijerumani zilizopo nje ya nchi hiyo zinafanya kazi katika mazingira magumu kama vile wakfu wa Konrad Adenauer uliolazimishwa kufunga ofisi zake nchini Abu Dhabi.
View ArticleEuro Bilioni 700 kuukabili mgogoro wa madeni
Nchi za Umoja wa sarafu ya Euro zimepiga hatua zaidi mbele katika juhudi za kukabiliana na mgogoro wa madeni baada ya kufikia makubaliano ya kuongeza fedha katika mfuko wa uokozi.
View ArticleUtawala wa kijeshi Mali waomba msaada
Kiongozi wa mapinduzi ya kijeshi katika nchi ya Afrika Magharibi Mali Kapteni Amadou Sanogo ameomba msaada kutoka kwa mataifa ya kigeni baada ya waasi wa Tuareg kuuteka mji wa Kaskazini Mashariki Kidal.
View ArticleWanawake wakimbizi wapambana na maisha Uganda
Ingawa maji yakimwagika hayazoleki, bado huo si mwisho wa mtu kupata maji ya kunywa kama anavyothibitisha Marie Mabala, mkimbizi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), anayekabiliana na maisha...
View Article