Ingawa maji yakimwagika hayazoleki, bado huo si mwisho wa mtu kupata maji ya kunywa kama anavyothibitisha Marie Mabala, mkimbizi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), anayekabiliana na maisha nchini Uganda.
↧