Myanmar wapiga kura
Raia wa Myanmar wanapiga kura zao katika uchaguzi katika uchaguzi unaochukuliwa kama kipimo kwa sifa za mageuzi nchini humo na unaoweza kupelekea kiongozi wa upinzani, Aung San Suu Kyi, kuingia bungeni.
View ArticleSanogo atoa amri
Kiongozi wa jeshi lililoasi na kupindua serikali nchini Mali, Kapteni Amadou Sanogo, ameliamrisha jeshi lake kutorefusha mapigano katika mji mmoja kaskazini mwa nchi hiyo
View ArticleSenegal na Mali magazetini
Matokeo ya uchaguzi nchini Senegal,mapinduzi ya kijeshi nchini Mali,na juhudi za kupambana na maharamia wakisomali ni miongoni mwa mada katika magazeti ya ujerumani kuhusu bara la Afrika wiki hii.
View ArticleUtawala wa kijeshi waahidi kukabidhi madaraka
Utawala wa kijeshi nchini Mali unaahidi kurejesha katiba ýa mwaka 1992 na taasisi za serikali ili kupata njia ya kufumbua mzozo nchini humo.
View ArticleCCM yakiri kupoteza Arumeru Mashariki kwa CHADEMA
Tume ya Uchaguzi ya nchi hiyo ilimtangaza Joshua Nasari, mgombea ubunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA, kuwa mshindi katika uchaguzi mdogo uliofanyika jana Jumapili, akimshinda Sioi...
View ArticleDirk Niebel aitembelea Somalia
Waziri wa misaada ya maendeleo wa Ujerumani, Dirk Niebel, amefanya ziara ya ghafla nchini Somalia. Waziri huyo alifanya mazungumzo na serikali ya mpito ya Somalia pamoja na wawakilishi wa taasisi za...
View ArticleBayer Leverkusen yamtimua kocha Robin Dutt
Bayer Leverkusen ilimmwonyesha mlango kocha wake Robin Dutt baada ya timu yake kushindwa magoli mawili kwa sifuri na Freiburg huku beki wa zamani wa Liverpool Sammi Hyypia akiteuliwa kuwa kaimu Mkufunzi.
View ArticleUtawala wa kijeshi Mali kuwekewa vikwazo
Mali inaweza kuwekewa vikwazo hii leo, baada ya viongozi wa kijeshi kutoonyesha ishara zozote kuheshimu ahadi walizotoa za kurejesha utawala wa kiraia nchini humo.
View ArticleMerkel aitembelea Jamhuri ya Czech
Kansela Angela Merkel wa Ujerumani yuko ziarani Jamhuri ya Czech ambako atakutana na waziri mkuu wa nchi hiyo Petr Necas pamoja na rais Vaclav Klaus.
View ArticleSyria yakubali muda wa kusimamisha ghasia
Syria imekubali tarehe 10 Aprili kama muda wa mwisho kuanza kutekeleza mpango wa amani uliopendekezwa na mjumbe wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, Kofi Annan.
View ArticleWaasi wa Mali 'waanzisha' utawala wa Kiislamu
Wakati Jumuiya ya Uchumi kwa Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) ikiuwekea vikwazo utawala mpya wa kijeshi wa Mali, wapiganaji wa Kiislamu kaskazini mwa nchi hiyo wanajaribu kuanzisha utawala wa Kiislamu.
View ArticleMgomo wa Madaktari nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo
Mgomo wa madaktari katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo umeingia siku yake ya pili hii leo (03.04.2012)
View ArticleMapigano yaendelea Syria
Mapigano makali baina ya majeshi ya serikali na wapiganaji wa upande wa upinzani yameendelea leo nchini Syria, licha ya Rais Bashar al-Assad kukubali kutekeleza mpango wa amani uliopendekezwa na Kofi...
View ArticleWakaguzi kufika Syria katika masaa 48
Kikundi cha kwanza cha maafisa kutoka idara ya masuala ya kusimamia amani ya Umoja wa Mataifa kinatarajiwa kufika mjini Damascus katika muda wa masaa 48, kuandaa ujumbe utakaosimamia kusitishwa kwa...
View ArticleFununu za kukamatwa kwa mkuu wa zamani wa waasi wa CNDP nchini DRC
Hali ya wasiwasi imetanda katika baadhi ya wilaya za mkoa wa Kivu ya kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
View ArticleAngola yatimiza muongo mmoja wa amani
Angola hii linatimiza muongo mmoja wa amani baada ya miaka 27 ya vita vya wenyewe kwa wenyewe, ikiwa na mafanikio makubwa ya kiuchumi lakini pakiwa na malalamiko katika demokrasia na haki za binadamu.
View ArticleWahariri wamtaka Merkel aseme wazi, katika Jamhuri ya Czech
Wahariri wa magazeti leo wanazungumzia juu ya ziara ya Kansela Merkel katika Jamhuri ya Czeck na juu ya mgogoro wa Syria.Wasema kusimamisha mapambano hukutaleta manufaa Syria hali Assad akiwa madarakani.
View ArticleBaraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kutoa tamko kuhusu Mali
Shinikizo la kuwataka wanajeshi walioupindua utawala wa kidemokrasia nchini Mali kuachia madaraka limeongezeka baada ya mataifa yenye nguvu duniani kuzidisha makali ya vikwazo vya kiuchumi dhidi ya...
View ArticleWashukiwa wa ugaidi kufikishwa mahakamani
Wizara ya ulinzi ya Marekani imepitisha uamuzi wa kuwafikisha mahakamani watu watano wanaoshukiwa kuwa ndio waliopanga mashambulizi ya kigaidi yaliofanyika Marekani Septemba 11, mwaka 2001.
View ArticleTanzania: Godbless Lema wa chama cha Chadema avuliwa Ubunge
Godbless Lema, mwanachama wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania sio mbunge tena. Asubuhi ya leo, Jaji Gabriel Rwakibarila ametoa hukumu na kumvua ubunge wa Jimbo la Arusha mjini.
View Article