Mitandao ya kijamii kushiriki uchaguzi Zambia
Wakati Wazambia wanapiga kura tarehe 20 Septemba, watakuwa na timu ya waangalizi makini kufuatilia mchakato huo, kupitia mitandao ya kijamii, ambamo wanaweza kuripoti makosa na ukiukaji wa taratibu...
View ArticleNini taswira ya usalama wa baharini katika Afrika ya Mashariki?
Kutokana na kuzama kwa meli ya Spice Islander katika visiwa vya Zanzibar mwanzoni mwa mwezi Septemba 2011 kulikoua mamia ya watu, Maoni Mbele ya Meza ya Duara yanajadili usalama kwenye usafiri wa...
View ArticleAfisa wa ngazi ya juu wa kanali Gaddafi atiwa mbaroni
Afisa wa ngazi ya juu wa jeshi la aliyekuwa kiongozi wa Libya, kanali Muammar Gaddafi, amekamatwa kusini mwa nchi hiyo, huku viongozi wa baraza la mpito wakiendelea kuvutana kuhusu kuunda serikali mpya.
View ArticleMzozo wa Euro unahatarisha uchumi duniani
Italia imepata pigo baada ya shirika la Marekani la Standard & Poors linalotathmini iwapo serikali zinaaminiwa kupewa mikopo, kuamua kushusha kiwango cha uwezo wa Italia kuyalipa madeni yake.
View ArticleGul akutana na Merkel
Rais Abdullah Gul wa Uturuki ameendelea na ziara yake hii leo (20.09.2011) nchini Ujerumani kwa kumtembelea Kansela Angela Merkel kwenye makao yake makuu jijini Berlin, huku huko mjini Ankara kukitokea...
View ArticleBaraza la Mpito la Libya kwenye mtihani
Kumudu kwa wafuasi wa Muammar Gaddafi kuendeleza mapambano dhidi ya vikosi vya Baraza la Mpito la Libya na kushindwa kwa Baraza hilo kuunda serikali hadi sasa ni jambo linalotoa picha mbaya kwa Baraza...
View ArticleRais wa zamani wa Afghanistan ameuawa
Burhanuddin Rabbani, ameuawa pamoja na walinzi wake wanne, katika shambulio la kujitoa mhanga lililofanywa nyumbani kwake mjini Kabul hapo jana.
View ArticleVurugu zatanda uchaguzi Zambia
Zoezi la kuhesabu kura nchini Zambia limekumbwa na vurugu na tuhuma za udanganyifu katika uchaguzi wenye ushindani mkali kati ya kiongozi wa upinzani, Michael Sata wa PF, na Rais Rupiah Banda wa chama...
View ArticleKifo cha Rabbani ni pigo kwa amani Afghanistan
Rais wa zamani wa Afghanistan, Burhanuddin Rabbani ameuawa katika shambulio la kujitoa mhanga lililofanywa nyumbani kwake hapo jana mjini Kabul.
View ArticleShirika la fedha la kimataifa laonya uchumi usizidi kuzorota
Picha ya kutisha ya shughuli za kiuchumi za dunia imetolewa na shirika la fedha la kimataifa muda mfupi kabla ya mkutano wake wa msimu wa mapukutiko kuanza kesho mjini Washington
View ArticleMapigano yamepamba moto nchini Yemen
Mapigano makali yameripuka leo mjini Sanaa licha ya mpango wa kuweka chini silaha ulioanza jana.Wimbi hili jipya la mapigano linahatarisha juhudi za kidiplomasia za kuumaliza mzozo wa Yemen
View ArticleHakuna njia ya mkato kupata amani Mashariki ya Kati
Rais wa Marekani Barack Obama amesema, hakuna njia ya mkato ya kupata amani katika Mashariki ya Kati. Obama alitamka hayo, alipokuwa akikihutubia kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York .
View ArticleMarekani yamnyonga Davis licha ya shinikizo la kimataifa
Licha ya shinikizo la kimataifa kupinga hukumu ya kifo dhidi ya Troy Davis, jimbo la Georgia nchini Marekani limemnyonga kijana huyo na kuzusha shutuma kubwa kutoka ulimwengu na wanaharakati wa haki za...
View ArticleRais Abbas adhamiria kuwasilisha ombi la Wapalestina
Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina Mahmoud Abbas anaazimia kuwasilisha ombi la kutaka taifa la Palestina kutambuliwa katika Umoja wa Mataifa, licha ya Rais wa Marekani Barack Obama kuonya kuwa...
View ArticleUpinzani 'waongoza' uchaguzi Zambia
Wakati matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika juzi nchini Zambia yakisubiriwa kwa hamu, Mahakama Kuu ya nchi hiyo imevizuwia vyombo huru vya habari kutangaza matokeo kabla ya kutolewa na Tume ya Uchaguzi.
View ArticleBaba Mtakatifu aanza ziara yake Ujerumani
Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani, baba Mtakatifu Benedikt XVI hii leo ameanza ziara rasmi ya siku tatu hapa Ujerumani. Kiongozi huyo ameanza kuutembelea mji mkuu Berlin na baadaye atakwenda Erfuht...
View ArticleViongozi wa dunia wahutubia Umoja wa Mataifa
Viongozi mbalimbalai wameendelea kuhutubia kikao cha Baraza Kuu la Umoja mjini New York.
View ArticlePapa atembelea mji wa kihistoria wa Erfurt
Leo hii (23.09.2011), Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Baba Mtakatifu Benedict XVI anatembelea mjin wa kihistoria wa Erfurt, ambako anaongoza misa maalum ya kanisa lake na makanisa ya kiinjili ya...
View ArticleMichael Sata ni Rais mpya wa Zambia
Kiongozi wa upinzani Micheal Sata ametangazwa kuwa rais mpya wa Zambia mapema hii leo baada ya uchaguzi uliokumbwa na vurugu zilizosababisha vifo vya watu wawili.
View ArticlePalestina imewasilisha ombi lake
Kiongozi wa Palestina Mahmoud Abbas amewasilisha hapo jana ombi rasmi mbele ya Umoja wa mataifa la kutaka eneo hilo kuwa mwanachama kamili wa Umoja huo pamoja na kutambuliwa kuwa taifa kamili
View Article