$ 0 0 Burhanuddin Rabbani, ameuawa pamoja na walinzi wake wanne, katika shambulio la kujitoa mhanga lililofanywa nyumbani kwake mjini Kabul hapo jana.