Ujerumani yataka mabadiliko ya kidemokrasia nchini Misri
Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Westerwelle amesema lazima demokrasia iletwe haraka nchini Misri.
View ArticleJumuiya ya kimataifa kusaidia demokrasia Belarus
Kiasi cha euro millioni 87 kimeahidiwa kutolewa kwa ajili ya kusaidia makundi ya kijamii nchini Belarus.
View ArticleDamu yamwagika Tahrir
Misri haijapoa, huku watu watano wakiuawa na wengine zaidi ya 800 wakijeruhiwa katika mapambano yaliyozuka uwanja wa Tahrir, baada ya wafuasi wa Rais Hosni Mubarak kuwavamia waandamanaji wanaompinga...
View ArticleMaelfu waandamana Yemen
Zaidi ya Wayemeni 20,000 wamemiminika katika barabara mbalimbali za mji wa Sana'a hii leo, wakitaka mabadiliko katika serikali ya rais Ali Abdullah Saleh.
View ArticleWaziri Mkuu wa Misri aomba radhi kwa mauaji ya waandamanaji
Huku mbinyo wa kimataifa ukiongezeka dhidi ya serikali ya Misri, kutokana na mashambulizi dhidi ya waandamanaji walio kwenye uwanja wa Tahrir, Waziri Mkuu Ahmed Shafiq ameomba radhi kwa taifa na...
View ArticleMaandamano Yemen yakamilika
Maelfu ya waandamanaji wameshiriki katika maandamano yaliopewa jina 'siku ya hasira', katika mji mkuu wa Yemen, Sana'a, hii leo, yaliokwisha kwa amani.
View ArticleRais Mubarak yuko tayari kwa mazungumzo
Makamu mpya wa Rais nchini Misri Omar Suleiman, ametangaza kuwa Rais Hosni Mubarak anayepingwa amesema yuko tayari kwa mazungumzo na makundi ya wapinzani.
View ArticleMisri: 'Siku ya Kuondoka' ndiyo leo
Shinikizo la kumtaka Rais Hosni Mubarak aondoke madarakani limepamba moto, huku leo waandamanaji wakiitisha wanachokiita "Siku ya Kuondoka" na Marekani ikisemekana kuandaa mpango wa Mubarak kuondoka...
View ArticleTayari kuua kwa euro nane
Misri Cairo ingali tete. Wapinzani na wafuasi wa serikali wanapambana na wanarushiana mawe.Hali ya mambo katika mji mkuu wa Waandishi wa habari wanaripoti juu ya ukatili wanaoshuhudia.
View ArticleUpepo wa mabadiliko wavuma Arabuni
Huku maandamano ya kuupinga utawala wa Misri yakiendelea, kile kinachoonekana kama upepo wa maguezi uliloanzia na mapinduzi yaliyomng'oa Zein El-Abidine Ben Ali wa Tunisia, kimeanza kusambaa nchi...
View ArticleMilio ya risasi yasikika Cairo
Milio ya risasi ilisikika jana katika uwanja wa Tahrir kwenye mji mkuu wa Misri, Cairo, eneo ambalo maandamano ya kupinga utawala wa miaka 30 wa Rais Hosni Mubarak yanafanyika.
View ArticleMaandamano dhidi ya Mubarak yaendelea Misri
Mara nyingine tena, mamia kwa maelfu ya watu wameandamana katika mji mkuu wa Misri Cairo kupinga utawala wa Rais Hosni Mubarak alie madarakani kwa miaka 30.
View ArticleUmoja wa Ulaya waunga mkono mchakato wa demokrasia
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amehakikisha kuwa mchakato wa demokrasia nchini Misri utaungwa mkono na Ujerumani na Umoja wa Ulaya.
View ArticleMazungumzo yafanyika baina ya serikali nawapinzani nchini Misri
Mashirika ya habari yaripoti kuwa Makamu wa Rais wa Misri Omar Suleiman amekutana na wapinzani.
View ArticleMaandamano pale pale licha ya mazungumzo
Rais Hosni Mubarak anakabiliwa na shinikizo jipya la kumtaka aondoke madarakani, baada ya wapinzani kusema kwamba mazungumzo yao na serikali hapo jana hayajaweza kufanikiwa kuzima maandamano yao dhidi...
View ArticleUbepari watoweka polepole
Hiyo jana, maelfu ya watu waliandamana barabarani katika mji mkuu wa Senegal, Dakar kuadhimisha ufunguzi wa kongomano la kijamii la kimataifa linalofanywa kila mwaka.
View ArticleMisri kwenye mkwamo
Baraza jipya la mawaziri wa Rais Hosni Mubarak limekutana leo hii, ikiwa ni mara ya kwanza tangu kuundwa kwake wiki iliyopita, na ikiwa bado waandamanaji wanaendelea na madai yao ya kumtaka Mubarak...
View ArticleMubarak aahidi kupandisha mishahara
Rais wa Misri Hosni Mubarak ameendelea kuvuta muda akiwa madarakani, wakati maandamano ya mitaani yakiendelea mjini Cairo na miji mingine ya nchi hiyo.
View ArticleKongomano la Kijamii la Kimataifa
Bara la Afrika ni mada iliyoshughulikiwa tangu siku ya mwanzo ya Kongomano la Kijamii la Kimataifa linalofanyika katika mji mkuu wa Senegal, Dakar hadi Februari 11.
View ArticleMsimamo juu ya Libya kitisho kwa uhusiano wa Ulaya, Afrika
Licha ya kuwa kwake umuhimu wa kimkakati katika uhusiano wa Ulaya na Afrika, tafauti ya kimsimamo kati ya Afrika ya Kusini na Ulaya kuelekea mgogoro wa Libya yaonekana kuwa kizuizi katika uimarishaji...
View Article