Mlipuko wa Ebola waathiri baadhi ya michezo
Mlipuko wa ugonjwa hatari wa Ebola unaendelea kulitikisa siyo tu eneo la Afrika Magharibi ambalo ndilo lililoathirika zaidi bali pia ulimwengu mzima huku hofu ya kusambaa virusi ikiendelea kuongezeka.
View ArticleAfrika katika Magazeti ya Ujerumani
Janga la ugonjwa hatari wa Ebola latawala kurasa za magazeti ya Ujerumani wiki hii. Hujuma za Boko Haram nchini Nigeria, kiisho cha ugaidi Kenya na wimbi la wakimbizi Uhispania ni miongoni mwa mambo...
View ArticleNia ya kusaidia Wakurdi yaoneshwa
Siku 6 baada ya Marekani kurudi tena Iraq na kuanza mashambulizi ya angani dhidi ya kundi la kisunni linalojiita dola la kiislamu Ufaransa nayo imeanza kupeleka silaha wakati nchi nyingine za Ulaya...
View ArticleEU yaelekea kuisadia Iraq
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya wamekuwa na mwelekeo wa kuunga mkono jeshi la Kikurd katika kukabiliana na wapiganaji wenye kupigana vita vya Jihad- Dola la Kiislamu nchini Iraq.
View ArticleMipango ya kupunguza polisi katika Bundesliga
Baada ya Bremen, jimbo jingine limetangaza mipango hiyo tena: maafisa wa North Rhine Westphalia wamechoka kuwalipa polisi wa ziada wa kupambana na ghasia katika mechi za Bundesliga
View ArticleBaa la njaa kuathiri Sudan Kusini
Ni wazi kuwa muda mwingine wa mwisho uliowekwa kufikia makubaliano ya amani umepita, na badala ya kuleta amani, viongozi wa pande mbili nchini humo wanaendelea kuitumbukiza nchi hiyo katika baa la njaa.
View ArticleBaraza la Usalama laiwekea vikwazo Dola la Kiislamu
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa kauli moja limeidhinisha azimio jana Ijumaa(15.08.2014) lenye lengo la kulidhoofisha kundi la Taifa la Kiislamu nchini Iraq.
View ArticleNani mchezaji bora barani Ulaya?
Mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka Cristiano Ronaldo, mlinda lango aliyeshinda Kombe la Dunia na Ujerumani Manuel Neuer na mwenzake wa Bayern Munich Arjen Robben wanaoawania tuzo ya Mchezaji...
View ArticleMertesacker aamua kustaafu soka la kimataifa
Beki wa Ujerumani Per Mertesacker ametangaza kustaafu kutoka soka la kimataifa na kufikisha kikomo kipindi chake cha miaka kumi aliyoichezea timu ya taifa mechi 104 na kutwaa Kombe la Dunia hivi majuuzi.
View ArticleSteinmeier ziarani Iraq
Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani amekutana na uongozi wa Iraq siku moja baada ya Umoja wa Ulaya kukubali kuvipatia silaha vikosi vya Wakurdi vinavyopambana na kundi la waasi la Dola la Kiislamu.
View ArticleKenya kupiga marufuku wasafiri kutoka Afrika magharibi
Kenya imekuwa moja kati ya nchi zilizochukua hatua ya kupiga marufuku wasafiri kutoka maeneo yaliyoathirika na ugonjwa wa Ebola katika Afrika magharibi na Nigeria yachukua hatua kuzuwia kusambaa kwa...
View ArticleUjerumani : Msukumo mpya wa kisiasa wahitajika Ukraine
Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Frank Walter- Steinmeier amesema Jumapili (17.08.2014) kwamba msukumo mpya wa kisiasa unahitajika kwa dharura kuyapatia ufumbuzi mapigano ya Ukraine.
View ArticleMazungumzo kuhusu Ukraine yafanyika Berlin
Mawaziri wa mambo ya kigeni wa Urusi na Ukraine wamemaliza mazungumzo kuhusu mzozo wa Ukraine Berlin bila ufanisi mkubwa. Mazungumzo hayo yalifanyika jana (17.08.2014) huku mapigano yakiendelea...
View ArticleUjerumani yajadili kutuma silaha Iraq
Mada kubwa katika magazeti ni uwezekano wa Ujerumani kuwapa silaha wapiganaji wa Kikurdi huko Iraq ili kupambana na waasi wa kundi la dola la Kiislamu IS.
View ArticleIraq yalikomboa Bwawa la mosul
Wapiganaji wa Kikurdi nchini Iraq wamefanikiwa kulikomboa tena bwawa kubwa la Mosul kutoka kwa wanamgambo wa kundi la dola la kiislamu la Iraq.
View ArticleJeshi latakiwa kutuliza ghasia Missouri
Gavana wa jimbo la Missouri,Marekani ameamuru kuwekwa kwa wanajeshi katika kitongoji cha St. Louis ambacho kimekumbwa na vurugu za ubaguzi kufuatia kuuwawa na polisi kwa kijana mmoja mweusi.
View ArticleRwanda yatimuliwa Kombe la Mataifa ya Afrika
Baada ya kufanya bidii na kufuzu katika awamu ya makundi, Rwanda imejikuta pabaya, kwa kutimuliwa katika safari ya kufuzu katika dimba la Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka wa 2015 litakaloandaliwa...
View ArticleTikiti za kuingia makundi Champions League
Ufahari na fedha taslimu kwa kufuzu katika hatua ya makundi ya Champions League vinazisubiri timu kumi wakati duru ya kufuzu kwa tamasha hilo kubwa zaidi Ulaya ikifikia kilele katika wiki mbili zijazo
View ArticleAtletico na Real kuumana katika Super Cup Uhispania
Mabingwa wa ligi kuu ya Soka Uhispania Atletico Madrid wana nafasi ya kulipiza kichapo walichopewa na Real Madrid katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, wakati watakapokutana katika Super Cup
View ArticleUjerumani ilisikiliza simu ya Erdogan
Uhusiano kati ya Ujerumani na Uturuki unaonekana kuyumbishwa baada ya uchunguzi kubaini kuwa shirika la kijasusi la Ujerumani limekuwa likisikiliza mazungumzo ya simu ya baadhi ya wanasiasa wa Uturuki.
View Article