Baada ya kufanya bidii na kufuzu katika awamu ya makundi, Rwanda imejikuta pabaya, kwa kutimuliwa katika safari ya kufuzu katika dimba la Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka wa 2015 litakaloandaliwa nchini Morocco
↧