Beki wa Ujerumani Per Mertesacker ametangaza kustaafu kutoka soka la kimataifa na kufikisha kikomo kipindi chake cha miaka kumi aliyoichezea timu ya taifa mechi 104 na kutwaa Kombe la Dunia hivi majuuzi.
↧