Quantcast
Channel: DW Kiswahili
Browsing all 28146 articles
Browse latest View live

Maoni ya Ute Schaeffer juu ya ripoti ya Umoja wa Mataifa.

Wakati sasa umefika wa kuwachukulia hatua wote waliotenda uhalifu katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo.

View Article


Kuyaokoa mazungumzo ya amani Mashariki ya Kati

Jumuiya ya Kimataifa inaendeleza harakati za kuyanusuru mazungumzo kati ya Israel na Palestina.

View Article


Sherehe za kuungana tena Ujerumani zaanza

Sherehe hizo za miaka 20 tangu Ujerumani Mashariki na Magharibi zilipoungana tena zimeanza jana katika mji wa Bremen, licha ya kuwepo kwa taarifa za kushtua.

View Article

Sherehe za Muungano wa Ujerumani zimeanza

Sherehe zimeanza nchini Ujerumani kuadhimisha miaka 20 tangu nchi mbili za Ujerumani zilipoungana tena ambapo sherehe zitafanyika rasmi mjini Bremen.

View Article

Ujerumani yasherehekea miaka 20 ya kuungana

Wajerumani wanakumbuka miaka 20 tangu walipoungana baada ya kutengena kwa miongo minne.

View Article


Miaka 20 ya Muungano:Mafanikio na changamoto mpya

Ujerumani imeadhimisha miaka 20 tangu eneo la Mashariki lilipoungana na Magharibi na kuwa nchi moja.Sherehe hizo zimefanyika mjini Bremen na zimehuhduriwa na viongozi kadhaa akiwemo Kansela Merkel

View Article

Miaka 20 ya Muungano wa Ujerumani.

Rais wa Ujerumani Christian Wulff asema Uislamu pia ni sehemu ya Ujerumani.

View Article

Marina Silva kuamua hatima ya urais wa Brazil

Matokeo ya uchaguzi mkuu wa wa Jumamosi nchini Brazil yanampa nafasi mgombea aliyeshika nafasi ya tatu, Marina Silva, kuamua nani awe rais baada ya uchaguzi wa mrudio wa Oktoba 31

View Article


Tuzo ya Nobel na hotuba ya rais wa shirikisho magazetini

Vitendo vifuate maneno wanasema wahariri waklichambua hotuba ya rais wa shirikisho mnamo siku ya kuadhimisha miaka 20 ya muungano

View Article


Mashariki ya Kati: Jitihada za kukwamua mazungumzo zaingia hatua mpya

Kila upande unaohusika na mazungumzo ya Mashariki ya Kati unachukua jitihada zake zenyewe kuona kwamba hatimaye mazungumzo yanakwamuka na amani inafikiwa, lakini misimamo mikali kutoka kila upande...

View Article

Uganda yasema inaweza kutuma kikosi chote kinachohitajika Somalia

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amekuwa akihimiza juhudi za haraka zichukuliwe kuimarisha usalama ndani ya Somalia

View Article

Hotuba ya rais wa shirikisho kuhusu wahamiaji ingali bado inawashughulisha...

Juhudi za kuwajumuisha wahamiaji na hasa waislam katika maisha ya kila siku ya jamii sawa na vitisho vbya kuzuka mashambulio ya kigaidi ni miongoni mwa mada magazetini

View Article

Mkuu wa waasi wa Mai Mai aliyehusika na ubakaji akamatwa Kongo

Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na masuala ya ubakaji katiká maneo ya mizozo, Margot Wallstrom asema ni hatua nzuri kuhakikisha akina mana waliobakwa wanatendewa haki

View Article


Marekani yahaha kukwamua mazungumzo Mashariki ya Kati

Huku mkutano wa nchi za Kiarabu ukifanyika Ijumaa hii kujadili mazungumzo ya amani ya Mashariki ya Kati, utawala wa Marekani unachacharika kuyarudishia uhai mazungumzo hayo

View Article

Ban kupitia upya sera ya MONUC.

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema anapitia upya sera na operesheni za kikosi cha kulinda amani cha umoja huo, katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, kufuatia mapigano na tukio la ubakaji...

View Article


Marekani yaiomba radhi Pakistan.

Marekani imeomba radhi kutokana na mashambulio ya umwagaji damu iliyoyafanya nchini Pakistan, hatua ambayo nchi hiyo inatumai kuwa itahamasisha Islamabad, kufungua tena vizuizi ilivyoiweke NATO...

View Article

Magazetini Ujerumani

Mradi wa ujenzi wa reli na kituo kipya cha treni katika mji wa Stuttgart kusini mwa Ujerumani na wasiwasi kuhusu afya ya Waziri wa Fedha wa Ujerumani ni baadhi ya mada zilizochambuliwa katika magazeti...

View Article


Karzai azindua Baraza Kuu la Amani Afghanistan

Rais Hamid Karzai wa Afghanistan hii leo amezindua baraza la amani litakalo kuwa mpatanishi katika jitahada za kumaliza vita nchini humo.

View Article

Malkia wa Uholanzi aruhusu serikali kuundwa.

Malkia Beatrix wa Uholanzi amemruhusu kiongozi wa chama cha kihafidhina cha WD, Mark Rutte kuunda serikali ya wachache yenye kufuata mrengo wa kati kulia.

View Article

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa ziarani Sudan.

Mfanyakazi wa Umoja wa Mataifa ametekwa katika jimbo la Sudan la Darfur, wakati ujumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ukiwasili jimboni humo kwa ziara ya kuhamasisha juhudi za kupatikana kwa...

View Article
Browsing all 28146 articles
Browse latest View live