Mkutano wa kilele wa Marekani na ASEAN
Mvutano na China juu ya visiwa vya South-China Sea.
View ArticleClinton akutana na Abbas
Mazungumzo kati ya Clinton na Abbas yalikuwa na lengo ya kuzuia mazungumzo ya amani kati ya Israel na Palestina yasivunjike.
View ArticleRais wa Palestina ahutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
Katika hotuba yake, Rais huyo wa Palestina Mahmoud Abbas aliitaka Israel kuchagua kati ya amani au ujenzi wa makaazi katika Ukingo wa Magharibi.
View ArticleMazungumzo ya amani Mashariki ya Kati
Wasiwasi kuhusiana na hali ya awamu mpya ya mazungumzo Mashariki ya Kati.
View ArticleUsitishwaji wa ujenzi wa nyumba za walowezi wa kiyahudi wamalizika
Maelfu ya watu huko Ukingo wa Magharibi , wameandamana kusherehekea kumalizika kwa muda uliyowekwa wa kusitisha ujenzi wa makaazi ya walowezi wa kiyahudi.
View ArticleNetanyahu amtaka Abbas kutojitoa katika mazungumzo.
Waziri Mkuu wa Israel leo amemtaka Rais wa Mamlaka ya Palestina kutojitoa katika mazungumzo ya amani wakati walowezi wa kiyahudu wakianza tena ujenzi baada ya kumalizika kwa muda wa miezi 10, wa...
View ArticleBoti ya wanaharakati wa Kiyahudi yaelekea Gaza
Boti ya misaada ikiwa na wanaharakati wa Kiyahudi kutoka Israel, Ulaya na Marekani iko njiani kuelekea Ukanda wa Gaza likitokea Cyprus ya Uturuki kuvunja ulinzi mkali wa Israel na hatua yake ya...
View ArticleEU yaishutumu Israel
Mkuu wa sera za nje wa Umoja wa Ulaya Catherine Ashton amesema hatua ya Israel kutorefusha muda wa usitishwaji wa ujenzi wa makaazi ya walowezi ni ya kusikitisha na ni kukiuka sheria za kimataifa
View ArticleUN yataka uchaguzi huru na wa haki Myanmar
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon amesema uchaguzi unaotarajiwa kufanyika wiki ijayo nchini Myanmar hautakuwa huru, mpaka pale utawala wa kijeshi wa nchi hiyo utakapowaachia wafungwa wote wa...
View ArticleUshirikiano wa aina mpya kati ya Afrika na Umoja wa Ulaya
Nchi za Afrika zaonyesha kujiamini zaidi na hali hiyo huenda ikasaidia kuibuka ushirikiano wa kweli pamoja na Umoja wa ulaya
View ArticleIsrael yalaumiwa na Baraza la Haki za Binadamu la UM
Israel yasema uchunguzi ni wa upande mmoja
View ArticleMaoni ya wahariri wa magazeti.
Wahariri wa magazeti leo wanatoa maoni yao juu ya uamuzi wa Israel kutorefusha muda wa kusimamisha ujenzi wa makaazi ya walowezi.
View ArticleJaribio la kigaidi, Ulaya
Magaidi walenga kuushambulia mji wa London, pomoja na miji mikuu nchini Ujerumani na Ufaransa.
View ArticleMatamshi ya Lieberman yamkasirisha Netanyahu na Wapalestina
Matamshi hayo ni kuhusu muda wa kupatikana kwa amani ya Mashariki ya Kati, ambapo amesema itachukua miongo kadhaa na siyo muda wa mwaka mmoja.
View ArticleShirika la Human Rights Watch laitaka Zimbabwe kukomesha machafuko
Mikutano 13 ya hadhara ya kukusanya maoni ya umma kuhusu katiba mpya imeahirishwa katika mji mkuu Harare kufuatia machafuko hayo
View ArticleMaelfu waandamana Brussels kupinga ubanaji matumizi
Maelfu ya watu kutoka katika nchi za Umoja wa Ulaya wameandamana mjini Brussels Ubelgiji, kupinga mipango ya kubana matumizi iliyochukuliwa na serikali za nchi nyingi zinazo tumia sarafu ya euro
View ArticleKesi ya Ghailani yaanza, Marekani.
Kesi ya mfungwa aliyekuwa akishikiliwa katika gereza la Guantanamo imeanza kusikilizwa katika mahakama ya mjini New York, Marekani, hii ikiwa ni mara ya kwanza kufanyika kesi ya aina hiyo.
View ArticleJuhudi za amani ya Mashariki ya kati zakumbwa na misuko suko baada ya Israel...
Walimwengu wameingia mbioni kuyanusuru mazaungumzo ya amani kati ya Israel na Palastina baada ya kiongozi wa utawala wa ndani wa palastina kutishia kususia mazungumzo hayo
View ArticleMaoni ya wahariri juu ya mkataba wa kudhibiti bajeti.
Wahariri wa magazeti ya Ujerumani wanatoa maoni yao juu ya hatua mpya za kudhibiti bajeti.
View ArticleMtazamo wa miaka 20 ya muungano
Miaka 20 ni kama kupwesa na kupwesua tu kihistoria. Ndipo mtu anaweza kufikia katika kipindi hiki cha miaka 20 cha kuunganishwa tena kwa Ujerumani. Lipi la kulalamikiwa na la kusifiwa?
View Article