Tuzo ya amani ya Nobel atunukiwa mpinzani wa serikali ya China
Mpinzani wa mfumo wa kikomonisti,Liu Xiaobo ametunukiwa zawadi ya amani Nobel kwa juhudi zake za kudai demokrasia nchini mwake
View ArticleMkutano wa jumuiya ya kiarabu kuhusu amani ya Mashariki ya Kati waanza Libya
Rais wa mamlaka ya ndani ya Wapalestina Mahmoud Abbas ataelezea msimamo wake wa kusitisha mazungumzo ya ana kwa ana ya amani na Israel mpaka itakaporefusha marufuku ya ujenzi wa makaazi ya walowezi
View ArticleWalimwengu isipokua China wampongeza mshindi wa tuzo ya amani ya Nobel kwa...
Serikali kuu ya Ujerumani yaelezea matumaini yake kumuona Liu Xiaobo akiruhusiwa kwenda kuipokea mwenyewe tuzo yake ya amani
View ArticleVita vya propaganda vyaielekeza Nigeria kubaya
Kauli ya Rais Goodluck Jonathan kwamba kundi la waasi wa Delta halihusiki na mripuko wa bomu uliotokea siku ya maadhimisho ya uhuru mwanzoni mwa mwezi huu wa Oktoba, imemuingiza kiongozi huyo vita vya...
View ArticleNATO yatiwa hasara tena.
Malori ya Nato ya kusafirishia mafuta yashambuliwa tena nchini Pakistan.
View ArticleHatimaye matumaini ya kuokolewa.
Wachimba migodi nchini Chile wafikiwa na mtaimbo maalum.
View ArticleWasudan wa kusini na kaskazini wapambana
Nchini Sudan,polisi walitumia marungu kuwatawanya kiasi ya waandamanaji 30 waliokuwa wakidai uhuru wa eneo la kusini.
View ArticleUchaguzi Kyrgystan
Wananchi Kyrgyzstan wapiga kura kuunda utawala wa kwanza wa kidemokrasia.
View ArticleMke wa mshindi wa tuzo ya Nobel ya amani awekwa kizuizini.
Mke wa mshindi wa mwaka huu wa tuzo ya amani ya Nobel Liu Xiaobo, bibi liu Xia amezuiliwa nyumbani kwake mjini Beijing.
View ArticleLiu Xia awekwa katika kizuizi cha nyumbani.
Mke wa mshindi wa tuzo ya amani ya Nobel kwa mwaka huu, Liu Xiaobo, Liu Xia amewekwa katika kizuizi cha nyumbani mjini Beijing, muda mfupi tu baada ya kumtembelea mumewe gerezani, kumfahamisha juu ya...
View ArticleLeo Magazetini hapa Ujerumani
Wahariri wa magazeti ya hapa Ujerumani hii leo wameziangazia mada kadhaa yakiwemo matamshi ya Horst Seehofer kuhusu uhamiaji,ajali ya kiwanda kilichomimina tope za sumu nchini Hungary na mivutano ya...
View ArticleKyrgyzstan yatarajiwa kuunda serikali ya mseto.
Vyama vikuu vitano vya kisiasa vimo katika ushindani mkali.
View ArticleMkopo kwa Ugiriki
Shirika la Fedha Ulimwenguni, IMF na Umoja wa Ulaya uliipa Ugiriki mkopo mkubwa, ili nchi hiyo isifilisike.
View ArticleMaoni ya wahariri wa magazeti ya Ujerumani.
Wahariri wa magazeti leo pia wanazungumzia juu ya matamshi ya waziri Mkuu wa jimbo la Bavaria Horst Seehofer juu ya wahamiaji.
View ArticleUjerumani yaingia katika Baraza la Usalama.
Ujerumani imefanikiwa kuchaguliwa kuwa mwanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
View ArticleUjerumani yapata kiti Baraza la Usalama.
Yasema itatoa mchango wake kama inavyotakikana
View ArticleIAEA yajikuta katika njia panda dhidi ya Syria
Shirika la Nguvu za Atomiki la Umoja wa Mataifa IAEA limesema kuwa Syria imekuwa ikiweka vikwazo dhidi ya shirika hilo kuichunguza kuhusiana na shashaka kuwa nchi hiyo inajihusiska na shughuli za atomiki
View ArticleWachimbaji migodi 33 waokolewa Chile
Baada ya siku 69, hatimaye wachimbaji migodi 33 wa Chile, wameokolewa katika operesheni iliyotajwa kama ya miujiza.
View ArticleMagazetini Ujerumani
Wachimba migodi waliookolewa nchini Chile baada ya kunasa katika mgodi kwa siku 69 ndio mada iliyoshughulikiwa na wahariri wa magazeti ya Ujerumani leo hii.
View Article