Obama, Cameron wamshinikiza Putin kuhusu Syria
Marekani na Uingereza zimeongeza shinikizo kwa Urusi juu ya mgogoro wa Syria, lakini rais Barack Obama ameonya kuwa hakutakuwa na suluhisho la haraka la mgogoro huo, huku jeshi la Assad likipata...
View ArticleKenya: Maandamano ya kupinga nyongeza ya Mishahara kwa wabunge
Nchini Kenya hii leo tarehe 14.05.2013 kunafanyika maandamano ya amani ya kupinga nyongeza ya mishahara ya wabunge.
View ArticleMusharraf kuendelea kuzuiliwa nyumbani
Mahakama ya kupambana na ugaidi nchini humo ikirefusha kwa siku 14 zaidi kifungo cha nyumbani cha aliyekuwa kiongozi wa kijeshi wa nchi hiyo Pervez Musharraf, kuhusiana na mauwaji ya Benazir Bhutto.
View ArticleMaoni ya wahariri juu ya uchaguzi, Bulgaria na Pakistan
Wahariri wa magazeti ya Ujerumani wanazungumzia juu ya chaguzi za Pakistan na Bulgaria kutilia maanani kauli za viongozi wa Umoja wa Ulaya
View ArticleRais wa Nigeria atangaza hali ya hatari
Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan ametangaza hali ya hatari katika majimbo matatu nchini humo, na kuamrisha wanajeshi zaidi wapelekwe katika majimbo hayo ili kukabiliana na kundi la Kiislamu la Boko...
View ArticleUmoja wa Mataifa kuidhinisha azimio la Syria
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa linatarajiwa kuidhinisha azimio linaloungwa mkono na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu likipendekeza kipindi cha mpito cha kisiasa nchini Syria
View ArticleUjenzi wa Mali bila ya amani?
Mkutano wa wafadhili juu ya Mali unaofanyika mjini Brussels unatarajiwa kuchangisha kiasi cha euro bilioni 2 kwa ajili ya ujenzi mpya wa nchi hiyo, lakini kweli itawezekana kuijenga upya nchi hiyo bila...
View ArticleUmoja wa Mataifa wapitisha azimio la kumlaani Assad
Baraza kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio la kuulaani utawala wa rais Bashar al-Assad na kuusifia upinzani, lakini kiwango cha uungwaji mkono wa azimio hilo kimeshuka kulinganishwa na mwaka jana.
View ArticlePolisi Uganda yatishia Waandishi
Polisi nchini Uganda imetishia kuwafungulia mashitaka mhariri na waandishi wawili wa gazeti la kibinafsi la Daily Monitor, kuhusiana na kuchapisha madai ya mwana wa rais Yoweri Museveni, kukirithi kiti...
View ArticleKimbunga Mahasen chafika kusini mwa Pwani ya Bangladesh
Kimbunga Mahasen leo kimelipiga eneo la kusini mwa pwani ya Bangladesh kwa mvua kubwa na upepo mkali, hali iliosababisha zaidi ya watu milioni moja kuhamishwa kutoka eneo hilo.
View ArticleMaoni ya wahariri juu ya mshuko wa uchumi barani Ulaya,na juu ya Syria
Wahariri wanatoa maoni juu ya mshuko wa uchumi katika Ukanda wa sarafu ya Euro, na juu ya dhima ya Ulaya katika mgogoro wa Syria.Ufuatao ni muhtasari wa maoni hayo
View ArticleDunia yazidi kuisaka amani ya Syria
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, anakutana na Rais Vladimir Putin wa Urusi na Rais Barack Obama wa Marekani anafanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Uturuki, Tayyip Erdogan, juu ya Syria.
View ArticleMaoni juu ya msaada wa Mabilioni kwa Mali
Mkutano wa wafadhili wa kimataifa juu ya Mali uliofanyika mjini Brussels mapema wiki hii ulikuwa wa mafanikio makubwa anasema mwandishi wetu Claus Stäcker katika maoni yake.
View ArticleJuhudi za kukusanya misaada kwaajili ya Syria
Vita vinaendelea Syria na mashirika ya misaada yanapata shida kuendeleza shughuli zao hasa katika maeneo yanayodhibitiwa na serikali .Kuna ukosefu wa chakula ,maji na madawa.
View ArticleJeshi la Nigeria lashambulia shabaha za Boko Haram
Vikosi vya serikali vimeanza kuzishambulia ngome za wapiganaji wa Kiislamu kaskazini-mashariki mwa Nigeria, katika operesheni ya kurudisha maeneo yanayodhibitiwa na waasi wa kundi la Boko Haram.
View ArticleDortmund yaionya Bayern kabla ya fainali
Zikiwa zimesalia siku chache tu kabla ya Fainali ya kukata na shoka ya Ligi ya Mabingwa Ulaya uwanjani Wembley jijini London, mengi yanaendelea kufanywa ikiwa ni sehemu ya matayarisho ya dimba hilo.
View ArticleAfrika katika magazeti ya Ujerumani
Wiki hii magazeti ya Ujerumani yameandika juu ya mkutano wa kuchangisha fedha kwa ajili ya Mali, juu ya kodi kwa ajili ya maendeleo ya Afrika na pia yameandika juu ya ghasia zinazotokea nchini Nigeria
View ArticleJohn Kerry kuzuru mashariki ya kati na Afrika
Waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani John Kerry anatarajiwa kusafiri kwenda katika mataifa ya mashariki ya kati na Afrika kuanzia Jumanne ijayo kwa ziara itakayomchukua hadi Mei 27.
View ArticleJeshi la Nigeria limewaua wapiganaji wa Boko Haram
Ndege za kivita za Nigeria zimeshambulia kambi za wanamgambo wa Boko Haram kaskazini mashariki mwa nchi hiyo katika mapambano makubwa na kuzua onyo kali kutoka Marekani la kuheshimu haki za binadamu.
View ArticleUjerumani imeyakinisha urafiki na Israel
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Guido Westerwelle Ijumaa (17.05.2013) ameyakinisha urafiki wa nchi yake kwa Israel katika kipindi hiki chenye changamoto kubwa katika eneo hilo kutokana na mzozo wa...
View Article